AND I QUOTE
"Lema katoka kuongea na ITV na RADIO ONE sasa hivi katoa msimamo wake lakini ametoa uthibitisho wa watu kama January Makamba alisema kuwa uchaguzi unarudiwa, Mwigulu Nchemba, Halima Mdee ameambiwa na mtu wa state house kabla na yeye alipigiwa simu na watu wausalama wakimtaka awe mvumilivu kwa lolote, then tangu asubuhi polisi walijaa maeneo mabalimbali ikiwemo walizunguka ofisi yake, HIVYO ANASEMA NI SHINIKIZO TOKA STATE HOUSE, msimamo atatoa baadaye baada ya kuongea na Wakuu wake mkoa na Taifa na pia ataongea na wananchi wake ila hataki kuwa mbunge wa rufaa au mahakama"
END OF QUOTE