Hivi hatuwezi binafsisha mahalama?? Bora turudi kwenye mabaraza ya asili.
Mtuhumiwa anatambuliwa kwa kuku kuwika mara saba.
Aibu kwa mahakama, aibu kwa wanasheria.
we nawe ndio umeongea nini hapa? nenda chit chatHivi hatuwezi binafsisha mahalama?? Bora turudi kwenye mabaraza ya asili.
Mtuhumiwa anatambuliwa kwa kuku kuwika mara saba.
Aibu kwa mahakama, aibu kwa wanasheria.
Kuna jamaa ananiambia kumetengwa bilioni 1o kwaajili ya jimbo hili, ili cdm izikwe!
Zitatumika vipi sijui!
Shahidi Mkuu ni Batilda kivipi?
Batilda hawezi kuwa shahidi mkuu kwa sababu hana kawaida ya kuhudhuria mikutano ya Lema, kwa hiyo hana uhakika na alichokisema Lema katika mikutano yake ya kampeni
we nawe ndio umeongea nini hapa? nenda chit chat