Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
hasara kwa taifa maana uchaguzi utarudiwa na mshindi wameshamjua
Thanks, tumekubali matokeo na Lema kasema hatokata rufaa,kwa hiyo kuanzia leo jimbo liko wazi. Tukutane tena ulingoni hakuna ushindi wamezani. Ila CCM inachofanya ni kuitangaza CDM, kwa vile najua jimbo la Arusha mtapata kura chache kuliko mlizopata na CDM inakwenda kuvunja rekodi ya kushinda chaguzi ndogo mfululizo.Pole sana wana Chadema jipangeni na uchaguzi mpya...siasa zina matamu yake na machungu yake.
Pingamizi lipi Gaijin ?
Yeye Lema anaruhusiwa kugombea tena??