kumbe nawe una upendoeee ongela kwa hili angekuwa hammy.d lah!!
Kweli kabisa Mkuu. Hiyo Suzuki inayosemekana kuwa imegongwa mbona haionekani?kajingongesha mwenyewe ; Hapte huruma ya wapiga kura.
Kama ulifanya maendeleo kwa wana ARUSHA OCT ; Tueleze miaka yote umeleta nini ; zaidi ya mikutano 1987646
Pole sana Lema pamoja na makamanda wengine majeruhi Allah atawaafu.
Angekuwa ccm kapata hili janga upande wa pili wengi wangemdhihaki. Lakin wana ccm huweka itikad pemben na kujumuika pamoja, huo ni ukomavu ambao upande uleee inabid ujifunze
ana stress baada ya kujua harudi bungeni tena october anyway pole lema
Mungu amsaidie mbunge wetu, Ibilisi kashindwa kwa jina la Yesu
Pole sana Lema pamoja na makamanda wengine majeruhi Allah atawaafu.
Kasome comment ya Ritz ndo uje hapakucommentana stress baada ya kujua harudi bungeni tena october anyway pole lema
Siamini kama lema kapona
Bila shaka jinamizi.la Komba litakuandama,utakufa wewe kabla ya LemaArusha hakuna mbunge ni jinamizi tu Hata angekufa poa tu
EEEE bwana kumnbe uchugazi umeanza kubadili tabia za wengi. Imeanzia kwa Lukuvi bungen na RITZ na yeye amekuwa na mawazo ya kiutu.
Watu wengine bana ajali inaweza kumtokea yeyote siasa siyo uadui haya ni masuala ya kibinadamu siasa kwako ni uadui?