Godbless Lema apata ajali

Godbless Lema apata ajali

Pole kamanda-Kipindi hiki kuelekea Oct.2015 Wabunge wawe makini sana!
 
Ahsante MUNGU Kwa Kuwaponya Lema Na Wenzanke Kwani Bado Tunaitaji Nguvu Zao Katika Kuundea Ukombozi Wa Taifa Hili
 
Ahsante MUNGU Kwa Kuwaponya Lema Na Wenzanke Kwani Bado Tunaitaji Nguvu Zao Katika Kuundea Ukombozi Wa Taifa Hili

Hasa kuendelea kuukomboa mkoa mzima wa arusha toka mikononi mwa vibaka hadi ukombozi kamili.
 
Jana nilikuwa natoka uwanja wa ndege wa Arusha niiiona magari yote mawili yakiwa katika hali mbaya sana.Ndhani hiyo gari nyingine ni Land Rover Freelander si Suzuki kama mleta mada alivyosema.
 
Kwakua biblia inasema mpende adui yako nami sina jinsi bali kumpa pole japo moyo umegoma kua mkunjufu kabisa kwa huyu Lema.hata hvyo pole
 
Mbunge wa Arusha mjini, Mhe.Godbles Lema amepata ajali ya gari alasiri hii. Ajali hiyo imetokea katika eneo la Burka, karibu na Uwanja wa ndege wa Arusha. Alikuwa akielekea bungeni-Dodoma.

Gari lake-Land Cruiser limegongana na Suzuki. Magari yote mawili yameumia vibaya, hasa Suzuki, kiasi cha kutoamini kama kuna mtu katoka salama. Hata hivyo Mungu ni mkubwa, Mbunge, Dereva wake na watu wengine wako salama.

Ameahirisha safari, amerejea mjini kwa taratibu nyingine, ikiwa ni pamoja na kucheki afya hospitali.
attachment.php

Pole mbunge wetu Mungu akulinde.na sisi huku tunahakikisha ulinzi Wa hali ya juu kwamba hafi Albino hata mmoja .kuakikisha dawa ya ushindi kwa nguvu za Giza aipatikani.as no longer no Albino is missing .huko salama .God bless us .Amina
 
Poleni sana kamanda Lema bado Mungu anakupigania.
 
Ushauri wangu kwa wabunge wa CHADEMA, hasa hawa vijana,

- Ajirini madereva waliosomea kazi hiyo acheni kuokoteza wahuni huko mtaani na kuwafanya ndio madereva wenu.
Wengi wao ni walevi wa pombe na bangi.
Tumeshuhudia SUGU ameshapata ajali zaidi ya nne toka awe Mbunge, ya mwisho ilikuwa ni pale Kitonga. Pia tusisahau tulishampoteza Kamanda Regia(R.I.P) kwenye ajali pale RUVU.

Wabunge huwa wanalipwa fedha kwa ajili ya dereva, ajirini!!
View attachment 259144

MUSSA ALLAN, msikilize mwenzio Ritz hapo first page..!

Ukisha msikiliza, niambie ajari hizi zilitokana na nini? Je ni madereva Kanjanja au kuna kitu nyuma ya pazia? Au ni ajari kama zilivyoajri zingine?

1.Ajari ya Salome Mbatia alipokuwa njia kwenda Songea kama sikosei..

2.Ajari ya Mudhihri Mudhihiri alipokuwa akitoka Bungeni kurudi Jimboni kwake.

3.Ajari ya Herson Mwakyembe pale Iringa toka Dar kwenda Mbeya.

4.Ajari ya Edward Sokoine Kitonga akielekea Dareslaam.

5.Ajari ya Juma Akukweti kwa Ndege akitokea Mbeya kwenda Dar.

Ushabiki ni kitu kibaya sana hasa kwenye vitu serious kama hizi Ajari. Hapa tunaona wakati Ajari zilizohusisha wabunge wa Chadema zikiwa Takribani tatu mpaka sasa, Sugu, Regia na Lema,Na waliopoteza maisha ni Mbunge mmoja tu (R.I.P COMRADE) Regia Mtema. Humo ccm Wabunge watatu tumeshawapoteza (R.I.P) Kutokana na ajari hizo huku mmoja akiachwa na kilema cha kudumu.!!

Sasa sijui kama hao wote walipata ajari hizo kutokana na 'Uhuni' wa madereva wao au kunasababu nyingine tofauti na Ulanjanja wa Madereva hao.

Ulimi ukiutumia vizuri ni kiungo Muhimu sana kwa Binadamu, lakini kikitumika vibaya ni kiungo hatari sana kwa Uwepo wa binadamu licha ya kwamba ni yeye mwenyewe ndiye anayekimiliki.!

Watch your Tongue Mister..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
kamanda dua za watanzania wapenda haki ziko pamoja na wewe, usiogope mungu yu upande wetu na pamoja nasi
 
MUSSA ALLAN, msikilize mwenzio Ritz hapo first page..!

Ukisha msikiliza, niambie ajari hizi zilitokana na nini? Je ni madereva Kanjanja au kuna kitu nyuma ya pazia? Au ni ajari kama zilivyoajri zingine?

1.Ajari ya Salome Mbatia alipokuwa njia kwenda Songea kama sikosei..

2.Ajari ya Mudhihri Mudhihiri alipokuwa akitoka Bungeni kurudi Jimboni kwake.

3.Ajari ya Herson Mwakyembe pale Iringa toka Dar kwenda Mbeya.

4.Ajari ya Edward Sokoine Kitonga akielekea Dareslaam.

5.Ajari ya Juma Akukweti kwa Ndege akitokea Mbeya kwenda Dar.

Ushabiki ni kitu kibaya sana hasa kwenye vitu serious kama hizi Ajari. Hapa tunaona wakati Ajari zilizohusisha wabunge wa Chadema zikiwa Takribani tatu mpaka sasa, Sugu, Regia na Lema,Na waliopoteza maisha ni Mbunge mmoja tu (R.I.P COMRADE) Regia Mtema. Humo ccm Wabunge watatu tumeshawapoteza (R.I.P) Kutokana na ajari hizo huku mmoja akiachwa na kilema cha kudumu.!!

Sasa sijui kama hao wote walipata ajari hizo kutokana na 'Uhuni' wa madereva wao au kunasababu nyingine tofauti na Ulanjanja wa Madereva hao.

Ulimi ukiutumia vizuri ni kiungo Muhimu sana kwa Binadamu, lakini kikitumika vibaya ni kiungo hatari sana kwa Uwepo wa binadamu licha ya kwamba ni yeye mwenyewe ndiye anayekimiliki.!

Watch your Tongue Mister..!!!

BACK TANGANYIKA

Mkuu hapa tunashauriana tu, sio mashindano, Kunywa Pombe na kuendesha chombo cha moto ni hatari sana, Muulize Joseph Selasini anafahamu.
 
Mkuu hapa tunashauriana tu, sio mashindano, Kunywa Pombe na kuendesha chombo cha moto ni hatari sana, Muulize Joseph Selasini anafahamu.

Kwani nani anashindana hapa....

Wewe kuweka maoni yako ni kushauriana then nikiweka mimi ni mashindano..!!! Akili zako. zinakutosha mwenyewe

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom