EEEE bwana kumnbe uchugazi umeanza kubadili tabia za wengi. Imeanzia kwa Lukuvi bungen na RITZ na yeye amekuwa na mawazo ya kiutu.
ana stress baada ya kujua harudi bungeni tena october anyway pole lema
Hahaha. Watu wengine bhanaa. Yaani hujuma ya kisiasa ndo imewafanya wa overtake bila kuchukua tahadhari?
...
.....Mpaka Ukombozi upatikane ....aluta kontinua
Tisa kumi ile ya Makongoro kigoma sijui hakuaga kwao lakini yupo njema.
safi sana ! pongezi nyingi zikuendee Mungu kwa wema wako wa kuwaokoa wapiga kura kwenye suzuki na mbunge wao kiboko ya wasaliti prophet lema , Mungu oyeeee !!!
Nimeamini jf ni zaidi ya tbc
Daaah, Pole zake nyingi sana Kamanda wetu
Hizi ajari mbona zimemuandama sana Kamanda Lema? Nakumbuka hii ni ya pili baada ya ile ya kule Kahama. Bora isiwe ni masuala ya Kisiasa maana hawa wenzetu hawaishi uharamia.!
Ashukuliwe Muumba kwa kimuepusha na balaa hili.
BACK TANGANYIKA
Ni wewe kweli, Ritz unayetoa pole hizi kwa Lema? Asante kwa niaba ya Lema, huenda Mungu kaubadilisha moyo wako, kutoka moyo wa jiwe hadi kuwa moyo wa nyama! Karibu sana kamanda Litz!
Pole sana Lema pamoja na makamanda wengine majeruhi Allah atawaafu.