Godbless Lema apata ajali

Godbless Lema apata ajali

Hili mbona kama kosa la dereva? Hiyo eskudo lazima alipe gari jipya huwezi endesha gari kilevi na kusababisha dhahama barabarani. Hawa madereva wa chadema unakuta wanaendesha magari kwa kasi utadhani wamebeba alshabaab.

Thanks be to God hakuna aliyeumia. Bima italipa uharibifu na ndiyo kazi yake. Wewe acha chuki ajali hata wewe ukiwa makini unaweza kugongwa.
 
Pole sana kamanda Lema na team yako
Aluta continua
 
Hili mbona kama kosa la dereva? Hiyo eskudo lazima alipe gari jipya huwezi endesha gari kilevi na kusababisha dhahama barabarani. Hawa madereva wa chadema unakuta wanaendesha magari kwa kasi utadhani wamebeba alshabaab.

Ushakuwa kamanda mpinga tayari?
 
Thanks be to God hakuna aliyeumia. Bima italipa uharibifu na ndiyo kazi yake. Wewe acha chuki ajali hata wewe ukiwa makini unaweza kugongwa.

Mkuu huyu jamaa kaingiza itikadi kashindwa kujua kuwa ajali haina itikadi
 
Pole sana kamanda Lema. Usiogope, Bwana yu pamoja nawe mpaka uyatimize makusudi yake ya kulikomboa kabisa jimbo la Arusha. Tupo pamoja, kiroho na kimkakati pia, bado unahitajika saana. Mapambazuko mbona tayari. Oktoba si mbali saana
 
Hahaha. Watu wengine bhanaa. Yaani hujuma ya kisiasa ndo imewafanya wa overtake bila kuchukua tahadhari?

Yaani kungekuwa na Watnzania 5M wenye mawazo kama haya ya activist hakika nchi ingesogea. . . . . . Ila siasa imewaroga watu vyama vimewapa upofu mbaya kabisa
 
Last edited by a moderator:
kajingongesha mwenyewe ; Hapte huruma ya wapiga kura.

Kama ulifanya maendeleo kwa wana ARUSHA OCT ; Tueleze miaka yote umeleta nini ; zaidi ya mikutano 1987646
 
Back
Top Bottom