Mkuu hapa tunashauriana tu, sio mashindano, Kunywa Pombe na kuendesha chombo cha moto ni hatari sana, Muulize Joseph Selasini anafahamu.
Kumbe alikuwa anaendesha Mh. Lema
Dereva wake alikuwa anamsindikiza tuu
Pole sana Lema pamoja na makamanda wengine majeruhi Allah atawaafu.
Mungu amtangulize mbelee ya haki huyu gaid
Moshi vijiji hatuna mwananchi mjinga kama wewe plz hebu badilisha hlo jina lako unatuaibisha sana. Napendekeza ujiite msoga vijijini.
EEEE bwana kumnbe uchugazi umeanza kubadili tabia za wengi. Imeanzia kwa Lukuvi bungen na RITZ na yeye amekuwa na mawazo ya kiutu.