Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,252
- 98,254
Lema atakuwa na matatizo ya kisaikolojia si bure.
Hivi udaktari ulimaliza kozi yako?
Lema atakuwa na matatizo ya kisaikolojia si bure.
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kifanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.
Mpaka Oktoba damu iko hatarini kumwagika.
Lema atakuwa na matatizo ya kisaikolojia si bure.
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kifanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kifanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.
Hawa ndiyo wafuasi wa Lema unategemea nini.
uwe unashirikisha ubongo.Hawa ndiyo wafuasi wa Lema unategemea nini.
Yaani Lema akijisikia tu lazima alianzishe ili ashikiliwe na polisi
Angalia hiyo video...Hivi mlishinda uchaguzi Arumeru?