Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Ahaaaa, Amin alitoka madarakani baada ya vita vya Kagera mwishoni mwa 1979. Museveni aliingia madarakani mwaka 1986, ninaposem alimg'oa Amin sababu alikuwa ni mmoja wa makamanda waliopigana vita vya Kagera ili kumg'oa Amin. Tumia common sense acha hasira,tulia acha papara.

Vita vya Kagera viliongozwa na Tanzania ndio wakafanikiwa kumg'oa nduli. Saa unaposema Museveni alimng'oa Amin sijui nikuelewe vipi. Hiyo 86 wakati anaingia madarakani, alitokea msituni dhidi ya general Tito Okelo. Sasa huko msituni ndio kuungwa mkono na wananchi?
 
Haahaaa ssa hapo nguvu ya wananchi ilikua wapi? Mbona ni wavamizi ndio walimtoa Amin na sio wananchi wa kawaida kuandamana au kubeba mtutu?
 
Vita vya Kagera viliongozwa na Tanzania ndio wakafanikiwa kumg'oa nduli. Saa unaposema Museveni alimng'oa Amin sijui nikuelewe vipi. Hiyo 86 wakati anaingia madarakani, alitokea msituni dhidi ya general Tito Okelo. Sasa huko msituni ndio kuungwa mkono na wananchi?
Haaahaaaa mkuu naona umembana vilivyo huyo UVCCM.
 
Unakimbilia tena Misri? Baada ya DRC na UG kukushinda Haaahaaa.

Ni hvi watu kutoandamana haimaanishi wamefurahi bali hawana namna ndio maana nmetoa mfano Mobutu na Amin hakuna alieandamana licha ya uhuni wao wa wazi kabisa.

Same to walimu na wadai mikopo hawakuandamana licha ya kupanga hivo mara kibao sio sababu waliridhishwa ila hofu ya Dr.Ulimboka n.k

Utaamini hya siku Tz ikipatwa na mabaya utaona tunavyogawanyika. Rejea ndege ilipokamatwa!!
Misri ni mfano hai kuwa wananchi wakitaka haki yao hakuna wa kuwazuia,wataingia barabarani hata kama mna mizinga. Na hii hutokea pale mwananchi amedhulumiwa haki yake kweli.

Hapa Tanzania wananchi wanafahamu ukweli lakini nyie mnataka waandame ndio maana waliwatosa.

Ndege ilipokamatwa ni wapuuzi wachache waliofurahia lakini majority walikuwa na taifa lao.
 
Huko Misri unapojifichia waliumizwa muda gani na dictator Mubarak kabla ya kuamua kuingia mitaani? Kumbuka chaguzi zote Mubarak alikuwa anashinda zaidi ya 80%+ kama ccm walivyoanza sasa. Na chaguzi za enzi ya dictator Mubarak zilikuwa kama hizi zote za awamu hii ya 5.
 
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa.

Zaidi....

Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini Kenya baada ya yeye na familia yake kuvuka mpaka wa Namanga.

Kwa mujibu wa tovuti ya The Standard Media ya Kenya Lema alikuwa na mkewe, Neema Godbless na watoto wao watatu. Lema ameliambia gazeti hilo kuwa maafisa wa uhamiaji walikataa kugonga muhuri nyaraka zilizowasilishwa na mke wake, kwa madai hadi wamuone Lema.

Amesema mke wake alipomuita alikwenda lakini akawaambia hana hati yake ya kusafıria kwa sababu alikuwa hasafıri, na kwamba mke na wanae walikuwa wanakwenda kutafuta shule ya kimataifa
Kenya.

Maafisa waliruhusu mke na watoto kuvuka mpaka, na Lema aliomba kwenda kutafuta fedha za Kenya ili ampe mke wake ambaye alisema kwamba angeendelea na safari yeye na watoto. Lakini mara tu alipovuka mpaka, Lema na familia yake waliingia ndani ya gari la mwanasheria wake, George Luchiri ambaye alikuwa akifuatilia mchakato mzima wa Lema kuvuka mpaka kuingia Kenya.

Maafisa hao wa uhamiaji walitoa taarifa Polisi kwamba kuna mtu ameingia nchini humo pasi na kuwa na nyaraka husika.

"Polisi walitufuatilia na wakatukamata tukiwa Ilbisil na kutupeleka kwenye kituo cha polisi. Sikutaka wamuweke Lema hapo kutokana na ukaribu wake na mpaka wa Tanzania," mwanasheria huyo ameiambiba The Standard Media.

Mwanasheria huyo amesema alifahamu kwamba Lema anakwenda Kenya na kwamba alitaka ampeleke Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UNHRC) mara tu atakapovuka mpaka. Luchiri amesema kwa mujibu wa UNHRC mtu anayetafuta hifadhi hahitaji kuwa na nyaraka za kumuwezesha kuingia nchi nyingine. Akieleza sababu za kutokutoa hati yake ya kusafıria, Lema amesema alijua kwa kufanya hivyo, maafisa hao wangemshikilia na kumzuia kuvuka.

"Nimeacha kila kitu nyumbani. Hivyo havina umuhimu kwa sasa. Muhimu ni usalama wangu na usalama wa familia yangu. Nipo na wanangu Allbless, Brilliance na Terrence. Sijui kesho itakuja na nini. Kwa sasa natafuta hifadhi," Lema ameiambia The Standard.

Mwanasheria huyo amesema atawasilisha taarifa za Lema katika Ubalozi wa Marekani kwani amekuwa akifanya mawasiliano na maafisa wa ubalozi huo.
Wakati hilo likitokea, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu yupo Ubalozi wa Ujerumani jijini Dar es Salaam alipokwenda kuomba hifadhi akidai ametishiwa kuuawa.

UPDATE: LEMA KURUDISHWA TANZANIA KESHO

Kenya imesema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema atarudishwa Novemba 9, 2020 baada ya kwenda nchini humo kutafuta hifadhi kwa UNHRC

Lema anayeshikiliwa Kituo cha Polisi cha Kajiado amedai maisha yake yapo hatarini
===

The crackdown on Tanzanian’s opposition has been intensified barely a week after President John Pombe Magufuli was sworn in for a second five-year term.

On Sunday the immediate former MP for Arusha Urban Constituency, Godbless Lema, who had served for two terms, was arrested at Ilbissil in Kajiado County after he and his family crossed over through the Namanga border.

Lema had left his home in a taxi accompanied his wife Neema Godbless, their three children and alighted at Namanga.

He said his wife presented documents to immigration officers who refused to stamp them unless she was accompanied by him.

Lema told The Standard when she called him he went to the immigration offices, he told the officers he did not have his passport with him and that he was not accompanying her and the children because she was just going to look for an international school.

The officials allowed the family to cross the border while Lema asked for permission to go and look for Kenyan currency to give to his wife.

As soon as he crossed the border he slipped into his lawyer’s car.

The lawyer, George Luchiri Wajackoyah, was monitoring the situation from the safety of the Kenya side and drove the fugitive MP out of the border town as soon as he and his family entered his car.

As soon as the immigration officials realised that they had been outfoxed, they alerted the Kenyan authorities that a person had entered the country without presenting travel documents.

“The police pursued us and arrested intercept us at Ilbisil where they took us to the local police post. I did not want them to lock up Lema in Ilbisil, owing to its proximity to the Tanzanian border,” lawyer Wajackoyah said.

He added: “Things are very bleak in Tanzania. I am the lawyer acting for CHADEMA. I knew Lema was coming and wanted to hand him over to the United Nations Human Rights Commission(UNHCR) when he crossed”.

Lema explained that when he reached the immigration department, he declined to hand over his passport because the officials would just detain him.

Tanzanian police had instructed Lema to present himself

“I decided to use a taxi because driving my vehicle would have alerted the police. I have left everything at home. This does not matter now. What is important is my safety and that of my family,” he told The Standard.

“Right now, I am with my wife Neema, my 14-year-old son Allbless, Brilliance(daughter) my last born son Terrence. I do not know what tomorrow holds. I am now looking for asylum,” he added

Wajackoyah said as soon as the US embassy opens today (Monday), he will present Lema’s case as he has been in communication with the political attaché, explaining that opposition leaders in Tanzania are being persecuted.

Wajackoya and Tundu Lissu, who has been on Magufuli’s crosshairs for the last three years were fellow students at the University of Warwick in the United Kingdom.

In 2017, Lissu escaped death miraculously after assassins sprayed him with bullets.

The 52-year-old lawyer and human rights activist challenged Magufuli for the presidency in the just concluded and disgrace election where Chadema was whitewashed with CCM claiming victory after garnering 94 per cent of the vote.

Even before the contested polls, there was widespread violence targeting opposition candidates and the few election observers concluded that the October 28 election was neither free nor fair.

According to Lema, Chadema’s presidential candidate, Tundu Lissu is also on the run from the Tanzanian authorities.

“Lissu is staying at the residence of the Germany envoy in Dar es Salaam. Nobody is safe anymore in Tanzania. They want to arrest him. And all prominent Chadema officials for protesting election rigging.”

Explained lawyer Wajackoyah: “A person fleeing from persecution, according to Article 2 of the UNHRC Statute of 1951, does not need to present documents. That is why I have booked him with the police as an asylum seeker so that he can be processed,” the lawyer explained.

There are fears that the majoritarian Chama Cha Mapinduzi will soon change the constitution to allow Magufuli to run for a third term when his second tenure ends in 2025.

Shortly before Magufuli was sworn in, about ten presidential candidates held a joint press conference where they disassociated themselves from the planned demonstrations called by Chadema.

Chadema has vowed not to recognize Magufuli’s win, dismissing the election that handed him a fresh mandate as a mockery of democracy and subversion of the people’s will at the ballot box.

Last week Tanzania police arrested Chadema leader Freeman Bowe and is yet to be released.

Source: Fleeing former Tanzanian MP arrested in Kajiado
There is no crack down of oppositions in Tanzania. Hawa mabeberu wajinga sana, yaani wanawafundisha mbinu ili ionekane kuna machafuko, idiot hawa wapinzani, ila uzuri watanzania wanatambua unafiki wao and they will go to hell as traitors.
 
Huko Misri unapojifichia waliumizwa muda gani na dictator Mubarak kabla ya kuamua kuingia mitaani? Kumbuka chaguzi zote Mubarak alikuwa anashinda zaidi ya 80%+ kama ccm walivyoanza sasa. Na chaguzi za enzi ya dictator Mubarak zilikuwa kama hizi zote za awamu hii ya 5.
Kwa hiyo unatumia kigezo gani kulinganisha hizi nchi juu ya utawala na chaguzi zake? Usikurupuke!
 
Kwa hiyo unatumia kigezo gani kulinganisha hizi nchi juu ya utawala na chaguzi zake? Usikurupuke!

Natumia kigezo usichokipenda. Nchi zote za madictator, huwa wanachezea box la kura, wananchi huwa ni ngumu kuandamana sio kwakuwa wanaridhika,bali hofu pekee ndio huwa kikwazo. 2/3 ya watanzania hawakujitokeza kupiga kura, na wengi wamesusia kwakuwa hawana imani na box la kura, na uchaguzi huu wa juzi hilo limekaa wazi peupe. Sasa hivi tunangoja tu katiba kubadilishwa na wabunge waliongia kwa kubaka box la kura kumuongezea Magufuli muda wa kukaa madarakani, ili udictator usimikwe rasmi.
 
Tumia akili we dogo, rais wa sasa wa misri aliingia madarakani kwa kura?

Hayo unayotuhumu kuhusu udikteta hapa Tanzania? Nani anatatawala bila kufuata misingi ya katiba hapa Tanzania? Nani atabadili katiba ili JPM aongeze muda?
 
Ahaaa huyu dogo hajui kitu,Jwtz ilipigana bega kwa bega na waganda na mmoja wa makamanda alikuwa ni Museveni.

Kwanini Museveni alingoja nguvu ya nje ya Uganda, na sio kutumia wananchi wa nchini mwao kuandamana ili kumtoa Idd Amini, ili tuamini tu kuwa nguvu ya ndani na maandamano ndio njia pekee ya kuonyesha unaungwa mkono ili kumtoa dictator?
 
Mh...! Kwa hiyo kupata msaada wa Jwtz ndio kusema wananchi wa Uganda hawamuungi mkono?

Kumtoa dictator mpakani nguvu ya ndani tu?
 
Tumia akili we dogo, rais wa sasa wa misri aliingia madarakani kwa kura?

Hayo unayotuhumu kuhusu udikteta hapa Tanzania? Nani anatatawala bila kufuata misingi ya katiba hapa Tanzania? Nani atabadili katiba ili JPM aongeze muda?

Rais wa sasa wa Egypt baada ya maandamano ya kumng'oa Mubarak hakuingia kwa kura, maana box la kura huko lilishapoteza maana kama ilivyo hapa Tanzania sasa. Misingi ya katiba ya chama kimoja imepitwa na wakati na ndio maana tumefikia hali hii. Tuna katiba iliyokataliwa na mtawala ili aburuze watu. Subiri uone kitakachofanywa na bunge hili ili ujue dhamira ya kunajisi uchaguzi huu, lengo lake lilikuwa ni nini.
 
Mh...! Kwa hiyo kupata msaada wa Jwtz ndio kusema wananchi wa Uganda hawamuungi mkono?

Kumtoa dictator mpakani nguvu ya ndani tu?

Wananchi wakikuunga mkono unahitaji jeshi la nini?
Hiyo paragraph yako ya mwisho unapinga na kukataa nini? Au mada imekuwia nzito?
 
Nyie ndio mnaofanya polisi waonekane
kuwa jumuia ya CCM kwahiyo dereva wa Lissu amekuwa polisi? kwa watu wenye akili upelelezi si ni taaluma watu wanakalia desk na kugraduate? ila daah! Nchi hii ujinga ni tatizo sugu kwakweli
Yaani watu wapoteze rasilimali wakatiuwezekana wa kuepusha gharama hizo upo!? Hesabu yako ya wapi hii!?
 
Wananchi wakikuunga mkono unahitaji jeshi la nini?
Hiyo paragraph yako ya mwisho unapinga na kukataa nini? Au mada imekuwia nzito?
Ahaaa mada ina uzito gani? Nauliza hivi wananchi kumg'oa dictator anayetawala mpaka iwe nguvu ya ndani tu?
 
Back
Top Bottom