ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
kwa nini watu wa Arusha wawe rahisi kulaghaiwa kiasi hiki
Vijana wengi waliolaghaika ni wale wanaotumia lile zao ambalo Lema anajihusisha kuuza kwa siri.
kwa nini watu wa Arusha wawe rahisi kulaghaiwa kiasi hiki
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!
Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!
Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...
Vijana wengi waliolaghaika ni wale wanaotumia lile zao ambalo Lema anajihusisha kuuza kwa siri.
Hembu jaribu siku moja kuchangia hoja yoyote bila kulitaja hili jina la Lema nikuone nawe ni mjanja hapa JF?!Vijana wengi waliolaghaika ni wale wanaotumia lile zao ambalo Lema anajihusisha kuuza kwa siri.
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.
Lema ni waziri kivuli wa wizara gani nasubiri kituko cha hotuba yake.
Zemarcopolo, ah! Kweli Lema, huko ni kuzurura? Ulisema tena kuwa wale wabunge waliokuwa wamesimamishwa walikwenda majimboni kuzurura. Ah! Kuzura kwingine kuna faida kwa chama. Kuzurura kwingine kunaweka msingi wa uchaguzi wa madiwani kwa upande wa chama. Lema ameitaim vizuri sana ccm. Ngoja azurure. Kitaeleweka!Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!
Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!
Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!
Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!
Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...
ZeMarcopolo,
aibu ya Msigwa umeiona wewe au tuseme kichwa chako ni cabbage hakina ubongo wa kufikiri na kuchambua mambo.
kweli sisi ni maiti zinazotembea,bora kuwa marehemu mtarajiwa kuliko kuwa maiti inayotembea.
Hembu tafakari! Bungeni Job Ndugai na Bibi Anne Makinda Lema hawamtaki kumuona akichangia hoja! Na pia wakimpa Ban nakuingia mitaani Polisi kwakushirikiana na Magese Molongo nao wakamuweka ndani na alivyotoka bado ni shujaa! Je Lema mtamuweka sehemu gani ili CCM mpumue na huku Lema alishawaambia kua HAKUNA ZAMBI KUBWA DUNIANI NA HATA MBINGUNI KAMA UOGA??????
Wewe ndio mwenye muda wa kufuatilia mambo ya mtu sifuri kama Lema. Mimi habari za Lema nazisikia akikamatwa na polisi, akifikishwa mahamani, akifukuzwa kwenye maandamano au akipigwa virungu na mgambo otherwise huwa sijui taarifa zake na sizihitaji.
Mkuu punguza jazba waache magamba wanyooshwe kidogo na kamanda.