Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Wewe ndio mwenye muda wa kufuatilia mambo ya mtu sifuri kama Lema. Mimi habari za Lema nazisikia akikamatwa na polisi, akifikishwa mahamani, akifukuzwa kwenye maandamano au akipigwa virungu na mgambo otherwise huwa sijui taarifa zake na sizihitaji.
ZeMarcopolo acha fix wewe. Lema unamtambua na kumuogopa zaidi ya unavyomtambua na kumuogopa Dr. Dr. Dr. Kikwete. Kila anachokifanya ama kukisema unakifuatilia kwa ukaribu sana na hujawahi kuchoka kumuandika hapa JF. Sasa mtu unayemuandika kila kukicha utaachaje kumfahamu na kumfuatilia? au ndo kujidanganya kwenyewe huko?...
Last edited by a moderator: