Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

CCM hawaelewi wamfanye nini Kamanda Lema, wakimvua ubunge anazunguka nchi nzima kuleta elimu ya uraia, wakimrudishia ubunge anaendeleza mapambano bungeni, wakimfukuza bungeni anaenda kuendeleza mapambano nje ya bunge. Hii ni shida kubwa kwa CCM na watawala wake dhaifu.
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Anazurura kama fast jet au?
 
Mie ninawashangaa sana watu wanaobishana na huyo marcopolo
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Sidhani kama watanzania wanaitaji hotuba za kupendeza au ahadi tamutamu,wanachotarajia kuona nini viongozi wanawatendea sio hao viongozi wanageuka wafujaji badala ya wasimamiaji wazuri na wananchi wakawafurahia.
 
unatoa gambe unaweka gambe, huyo ndiyo Lema bana hutaki unaacha
 
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.

Mbunge wa Viti maalumu?
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Kweli daktari huwa hajigangi mwenyewe...hukujua kuwa waziri kivuli wa wizara ya mambo ya ndani ni Vicent Nyerere??
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Kuna post inayoihusu CDM ukaiacha hivihivi wewe!! Sijui wewe umefika ngazi ani pale Lumumba
 
Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema na Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema leo ameanza rasmi kazi ya kusambaratisha CCM Arusha.

Lema ambaye ameamua kutembelea kata zote za Jimbo la Arusha kabla ya kurudi bungeni wiki ijayo leo alikuwa katika kata ya Kimandolu na Kaloleni.

Katika kata hiyo aliyoanza kutembelea tangu asubuhi amefanikiwa kuzindua mashina 12 ya CHADEMA.Akizungumza na wanachama katika maeneo hayo Lema alielezea kwa kina uonevu uliofanywa na mkuu wa mkoa Magessa Mulongo dhidi yake na CHADEMA kwa ujumla.

Wachambuzi wa siasa za Arusha wanasema mpaka kumaliza ziara hii katika kata zote Lema atakuwa ameijeruhi vibaya CCM.

that's our MP, GO, GO, GO, GO, GO LEMA
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Achana na Mvunja amani huyo ajizururie atakavyo, kwani hata waliomuweka ndani walikuwa wanatambua kuwa bunge linaendelea. Hata hivyo nimeona hotuba ya Msigwa pamoja na kutokuwa na mashiko Baadhi ya wabunge wa chama tawala ambao husema hawatishiki wanaomba mambo mengine yaongelewe chemba na si bungeni. Hata hivyo wasafi hawaogopi kuongea popote labda ni wachafu ndio maana waogopa. Yangu macho.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema na Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema leo ameanza rasmi kazi ya kusambaratisha CCM Arusha.

Lema ambaye ameamua kutembelea kata zote za Jimbo la Arusha kabla ya kurudi bungeni wiki ijayo leo alikuwa katika kata ya Kimandolu na Kaloleni.
Aisee, mshauri atembee na CD za kilichojiri IAA, laptop na projector. Tena akifika sehemu za mkutano, aonyeshe hizo video wala asihutubie.
 
Kuna post inayoihusu CDM ukaiacha hivihivi wewe!! Sijui wewe umefika ngazi ani pale Lumumba

Pengine yeye posho yake imepanda na kufikia shs 8,000/ hivyo lazima aongeze juhudi kupost sana kufikiri baadae
 
CCM hawaelewi wamfanye nini Kamanda Lema, wakimvua ubunge anazunguka nchi nzima kuleta elimu ya uraia, wakimrudishia ubunge anaendeleza mapambano bungeni, wakimfukuza bungeni anaenda kuendeleza mapambano nje ya bunge. Hii ni shida kubwa kwa CCM na watawala wake dhaifu.
Halafu kibaya zaidi hapo alipo anawezeshwa wanaomwezesha wakichoka inakua aibu...
 
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.

huyu jamaa kachaguliwa kuwawakilisha wananchi wa Arusha na matatizo yao bungeni na sio chama na matatizo yake bungeni.cha kuchekesha ni kwamba,jamaa muda wote yupo na wananchi wake wakiponda ccm hv,matatizo ya wananchi wake atayawasilisha lini serikalini?ndo mana huyu mama anasema,jimbo limekosa mwakilishi.
 
Back
Top Bottom