Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

huyu jamaa kachaguliwa kuwawakilisha wananchi wa Arusha na matatizo yao bungeni na sio chama na matatizo yake bungeni.cha kuchekesha ni kwamba,jamaa muda wote yupo na wananchi wake wakiponda ccm hv,matatizo ya wananchi wake atayawasilisha lini serikalini?ndo mana huyu mama anasema,jimbo limekosa mwakilishi.
Lema anajua wananchi ndo waajiri wake siyo serikali ya CCM, kwa hiyo ni bora akatumia muda wake mwingi pamoja na hao wananchi.
 
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.

Yani unategemea mawazo ya Ma Changu.jina lina reflect tabia kaka
 
Operation ua maccm ya binafsi,alafu sasa kuna lile balaa linaitwa M4C ndio linakuja kufukia mizoga ya magamba arusha safi lema tupe raha Lema huyo Mulongo mbona atajamba huyu.
 
Hii ndio siasa...kamanda namkubali, every negative action done by CCM should bring positive impact TO CDM..

To every action there is an equal and opposite reaction. Mwendo mdundo kamanda.
 
kazi nzuri lakini huu sio mda wake mh rudi kwanza bungeni
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Akiwa Bungeni analeta fujo.
Akiwa nje ya bunge nongwa eti anazurura. Mnataka nini sasa.
Mngetamani hata afe tu-waambieni UWT wenu wafanye kazi yao kama vipi!

Mtasema yote mwaka huu!!
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

nataka nilete posa kwenu nichukue mzigo
 
Sio ataijeruhi ccm
akimaliza ziara yake ktk kata zote hapa jijini Arusha..hiyo ccm hapa
arusha ni kama haipo..huku ktk kata hata hao mabalozi walishindwa
kuwapata ktk uchaguzi wao,watu walikataa.

kaka ni kwa kwamba haitokuwepo kabisaaaaaaaaaaaa
 
WAPIGANAJI WETU A-TAUNI TUPENI RAHA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI HAPO JIJINI KWA KUUNGA MKONO KWA DHATI NA VITENDO ZOEZI LA 'OPARESHENI WOTE CHADEMA' HIVI KARIBUNI

Siku zote pale pote palipo na MWANGA, hakuna shaka, GIZA hukimbia tena kwa kasi isielezeka. Ukandamizaji dhidi ya CHADEMA Mungu wetu mwema na aliyehai azidi kuwaumbua watesi wetu na VIHUNZI vyote vya kisasi kisiasa huturukisha salama bila kutuacha tuadhirike na mitego ya maadui zetu.

Enyi wana wa A-Tauni, sasa ni muda wa kufanya KWELI kikweli kweli vile; sote kwa pamoja tena bila ajizi hebu tujitokeze 'TO THE LAST MAN' tukakipigie CCM 'kura za chuki' kwenye uchaguzi wa madiwani hivi karibuni na tupate kumpa Mhe Lema ZAWADI STAHIKI kwa kumchagulia Madiwani wooote toka CHADEMA peke yake ili tupate kuandika historia mpya hapa jijini.

Chini ya mapendekezo haya vile vile tuchukue nafasi hii kuomba viongozi wetu CHADEMA Makao Makuu kutulete mapema ile timu mahiri ya Dogo Nyerere iliopata 'kumuumbua' Mzee Wassira kule jimbo la Meru na hatimaye kutuletea mbunge Nassari sebuleni kule Dodoma.

Katu wasibaki nyuma hata kidogo wabunge vijana kama vile Zitto, Mch Msigwa, Sugu aka Rais wa Taifa la Jamhuri ya Watu wa Mbeya, Kamanda Heche, Kamanda Mawazo wa kule BK, Kamanda Halima Mdee wote chini ya Gwiji Mabere Nyaucho Marando na Mzee wa Anga katika kumkaribisha Dokta wa ukweli kuja kuongoza safu ya 'OPARESHENI WOTE CHADEMA' ili kuliweka sawa jiji la Arusha kisiasa katika ramni ya kuwa NGOME KUU ya mabadiliko ya kweli nchini.

Wakuu 'Crashwise', 'Mungi', Kamanda Ole Millya na Kamanda Ephata, Kamanda Gologwa na uongozi mzima wa CHADEMA Mkoa; hebu tuandalieni jiji na ukaribisho shwari kwa kazi moja kubwa ya kumpa Mhe Lema ZAWADI STAHIKI kwa kumchagulia timu ya Madiwani wenye nembo ya 'WOTE CHADEMA' hapo Jijini.
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Kuna mtu alikuja humu akatoa cv yako akasema ulikuwa unafaulu vizuri O na A Level, na sasa unaitwa Dr, nilitaka kujua ni U-Dr wa chupi au?...
 
Thread kama hii utaona maccm kibao
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...
ataacha kuzurura baada ya mafisadi kutoka magogoni mwaka 2015!
 
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.
kwa hiyo maendeleo yanaletwa na mbunge? Na sio wananchi? Wabunge kama hao sijui wanafanya nini bungeni! Anajilopokea tu!
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Endelea kukaa chini mwenyewe, waziri kivuli wa mambo ya ndani ni Vicent Nyerere.... ila leo msingwa kawakamata pazuri sana mkuuu.
 
Kumbe alipopigwa BAN na uwaziri ukawa byebye.

Hawa mawaziri vivuli hatuwajui kwa sababu they are no where to be seen. Wako kwenye makaburasha tu!
mbona hata mawaziri wa jk wengi wapo kwenye makabrasha tu? Isipokuwa mwakyembe,magufuli, Tibaijuka na kagasheki? Wengine ni kulamba posho kwa kwenda mbele!
 
Hongera kamanda, maana mibunge ya ccm imebaki kuitetea serikali ya kifisadi kuliko kuwatetea wananchi waliowahonga kapero,tshirt,wali na hata kanga! Shame on mibunge ya magamba!
 
Endelea kukaa chini mwenyewe, waziri kivuli wa mambo ya ndani ni Vicent Nyerere.... ila leo msingwa kawakamata pazuri sana mkuuu.

hahahahahahahahahhaha Msigwa leo aibu tupu.

I think the guy is mentally moribund...
 
Back
Top Bottom