Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.

Mbunge afanye kazi yake ya kisiasa...watawala nao wafanye kazi zao za kuwawezesha wananchi kupata kipato ili waweze kulipa kodi...pia wakusanye kodi ipasavyo. Jimbo langu la vunjo halijawahi kuwa na maandamano yoyote.....lakini kodi inashuka vibaya mno wananchi hata kahawa mashambani wameng'oa baada ya kutelekezwa............tafakari..........maandamano ktk kudai haki ya maendeleo ni haki.............

tatizo ni kansa (U-CCM) inayotafuna fikra hata namna ya kuchanganua mambo. B smart.piga vita kansa.
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Tumekuzoea,GAMBA MKUBWA WE.
 
huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

kinanaaaaaa.....,...!
Weka mbali na tembo.
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...

Kwa taarifa tu naomba nikufahamishe kwamba mh. Lema sio waziri kivuli tena, uwe unafuatilia mambo kwa ukaribu kabla ya kuchangia
 
Kwa taarifa tu naomba nikufahamishe kwamba mh. Lema sio waziri kivuli tena, uwe unafuatilia mambo kwa ukaribu kabla ya kuchangia

Wewe ndio mwenye muda wa kufuatilia mambo ya mtu sifuri kama Lema. Mimi habari za Lema nazisikia akikamatwa na polisi, akifikishwa mahamani, akifukuzwa kwenye maandamano au akipigwa virungu na mgambo otherwise huwa sijui taarifa zake na sizihitaji.
 
Safi sana Kamanda Lema, tuko pamoja kuwaangamiza magamba kisiasa.
 
Huyu jamaa bunge linaendelea yeye anazurura tu!

Nayeye ikifika wakati wa kutoa hotuba yake ya mambo ya ndani asije kuleta vituko kama vya Msigwa!!!

Lema, kaa chini uandae hotuba inayoeleweka. Acha kuzurura...
mkuu inamaana wananchi wa Arusha wamepoteza mwelekeo na kumuunga mkono mzururaji? hebu tuangalie ukweli wa jambo hili
 
Wewe ndio mwenye muda wa kufuatilia mambo ya mtu sifuri kama Lema. Mimi habari za Lema nazisikia akikamatwa na polisi, akifikishwa mahamani, akifukuzwa kwenye maandamano au akipigwa virungu na mgambo otherwise huwa sijui taarifa zake na sizihitaji.

Msigwa ndiye kiboko yenu.Mungu ampe maisha marefu
 
Kama mtu fulani anawika kwa akuungwa mkono na watu hupaswi kumlaumu huyo mtu bali kuchunguza watu wanao wnaomuunga mkono. kwa nini watu wa Arusha na Lema? sio kwa nini Lema. kama humtaki lema pambana na watu wanaompenda si lema mwenyewe.
 
Ndallo

Heko sana Kamanda wangu!

Hapa umenimaliza kwa niliyotaka kusema!

Sio ataijeruhi ccm akimaliza ziara yake ktk kata zote hapa jijini Arusha..hiyo ccm hapa arusha ni kama haipo..huku ktk kata hata hao mabalozi walishindwa kuwapata ktk uchaguzi wao,watu walikataa.
 
Last edited by a moderator:
mbunge wa viti maalumu betty machangu akichangia mjadala wa wizara ya maliasili na utalii hivi punde ameeleza kuwa mkoa wa arusha ni wa pili kwa ulipaji na ukusanyaji kodi hapa nchini lakini hivi sasa maendeleo ya mkoa huo yanazidi kudidimia kwa sababu arusha mjini haina muwakilishi kwa sababu mbunge wake yuko bize na maandamano na siasa za vurugu kila kukicha.
TOTALLY RUBISH LIKE FARTHER,LIKE MOTHER ,LIKE SON.Ni maendeleo gani anayotaka huyu k..u.m mwenzio?Ilo Jimbo maendeleo gani ambayo hayajafanyika hadi leo?Je Arusha ilikuwa chini ya Magamba kwa muda gani ni zaidi ya nusu karne hawakumaliza kupeleka hayo maendeleo hadi leo mnalala mlango wazi kumsubiri Lema?Huyo mama si ndo alikamatwa anagawa hongo akapambana na TAKUKURU ila kwa msaada wa MKULU NA MAGAMBA JAMAA AKAHAMISHWA MKOA ILI KUMNUSURU HUYO BETY CHANGU?
 
CCM hawaelewi wamfanye nini Kamanda Lema, wakimvua ubunge anazunguka nchi nzima kuleta elimu ya uraia, wakimrudishia ubunge anaendeleza mapambano bungeni, wakimfukuza bungeni anaenda kuendeleza mapambano nje ya bunge. Hii ni shida kubwa kwa CCM na watawala wake dhaifu.
Staili hiyo ya Lema inaitwa twanga kote kote!

Kwa namna Lema, anavyowahenyesha magamba, naamini hazitapita siku nyingi,utasikia baadhi ya vigogo, atakuwa amewasababishia, walazwe mahosipatilini kwa presha, kutokana na hiyo twanga yake ya ndani na nje ya bunge!

Na hapo magamba wanaendelea kuumiza vichwa vyao, kutokana na sharti alilolitoa kuwa, siku atakapofikisha bungeni ushahidi wa kuwa JK, ndiye mwasisi wa udini nchini, atamwomba pia ushahidi huo usomwe sambamba na ushahidi aliouleta siku za nyuma, ambao spika Makinda, aliuweka kapuni, ambao alithibitisha kuwa Pinda ana kiwanda cha kutunga uongo!!
 
Back
Top Bottom