God was created when the first con-man met the first fool

kunguni,funza,ma-nzi ya kijani ,govi nk nipe sababu ya kuwepo kwake
 
100% true
 
Hata tukikuuliza wewe ni nani au wewe ni nini na u hakiki (prove) uwepo wako nina uhakika huwezi so unawezaje kujua lolote kuhusu Mungu??
 
Kama ushawai kwenda kwenye show ya diamond platnum kabla ya yeye ajapanda kwenye stage kuna wasanii underground wanatoaga burudani
Nahisi ndo kitamkuta jamaa huyu siku ya kiama
"Unabidi uwe na akili kidogo ili ujue nime maanisha nini hapo juu"
kwamba kabla shetani hajatia neno kuna underground wanafungua jukwaa la lucifa
 
Nipo JF kwa mambo mengi, sio kwa ajili mimi ni Atheist,

Bible na Quran ni miongozo waliojiwekea watu wa kale, enzi za ujinga ambapo mwanadamu alikuwa haijui Ulimwengu vizuri
Ndio maana wanasema eti jua likizana linazama kwenye matope, ndio maana wana imejaa contradictions nyingi tu
Mtu anayewaza rationally hawezo kuamini huo upuuzi, pamoja na maquote yako ya kutunga

 
Wewe unaewaza Rationally umefanya kipi kuweza kukutofautisha na mtu wa karne ya kwanza? Nakuzungumzia wewe kama wewe unatofauti gani kiustaarabu, kiakili, kimaadili, kihekima!?

Zaidi sana hata hayawani watakuwa wanakuzidi.

Kwa kiwango cha Sayansi na Teknolojia iliyopo imeshindikana vipi kuumba UHAI?

Hata jani lililo hai tu...! Niambie, inashindikanaje?

Unapozungumzia suala la Contradictions zilizopo katika vitabu vya dini hilo ni suala lingine, na lina maelezo yake.

Unasema, nimetunga Quote, thibitisha...!
 
kunguni,funza,ma-nzi ya kijani ,govi nk nipe sababu ya kuwepo kwake
Hapa hatuko darasani. Kama hujui faida kubwa sana ya ulivyo vitaja nenda library ukasome similarities and dependence of life cycles .

Nakuwekea baadhi ya Link hapa ukajisomee mwenyewe. Usipoteze muda wa watu.



Someni watanzania.acheni kupenda shortcuts
 

Nyinyi naona mmezoea kusema uongo na mnaachiwa. Sasa nakupa miaka kumi unipe ushahidi ya kuwa Qur'aan inasema jua linazama matopeni ? Naomba utakapokuwa unajibu swali hilo. Ujibu maswali haya :
1. Nipe sababu ya kuwepo aya hiyo?
2. Na walioambiwa hivyo hizo zama za kale waliielewa vipi hiyo aya ?

Pili,naomba uniambie binadamu hao ilikuwaje wakajiwekea miongozo na ilikuwa lini "

Naomba unipe "contradictions" japo mbili tu katika Qur'aan. Hili nakupa miaka miwili,uniletee hizo "contradictions".
 
wewe zwazwa kweli hiyo namba kumi na framework ndiyo nn wewe umesema mungu hayupo sasa tengeneza framework inayopinga kuweli
 
Hata tukikuuliza wewe ni nani au wewe ni nini na u hakiki (prove) uwepo wako nina uhakika huwezi so unawezaje kujua lolote kuhusu Mungu??

Kuamini mungu ni sawa nakusema naamini naongea kiswahili/kichaga/kihaya.."ujinga huu"
Jibu sahihi ni ..Najua naongea kichaga/kiswahili nk..huitaji kuamini kama unajua
 
There must something behind all of these seen an unseen material. The problem is we cant thing anything out of this universe we called the space but we cant measure how long big larger its is as the time gone we discover many stars and new thing and we proud of it but you dont know your weakest creature in the series of understanding individuals. The studying of science in deep is how deeply you can know who is god. Those scientist who says there is no possibility of god and they dead dont u see they lost. God is there but may be different from what is written but is there. Ask the person near death he or she must surrender because the soul know where is coming from.




Question
Do yiu know why dying person cant lie?
 
Kuamini mungu ni sawa nakusema naamini naongea kiswahili/kichaga/kihaya.."ujinga huu"
Jibu sahihi ni ..Najua naongea kichaga/kiswahili nk..huitaji kuamini kama unajua
Huwezi ukajua kila kitu, mfano rahisi tu kwa nini damu ni nyekundu na sio ya blue??
 
Bora kuamini yupo ili hata siku ukimkuta hakuna kushangaa, kuliko kuamini hayupo hlf siku ukimkuta sijui unafanyaje
Vijana wa mnyaazmungu mmekaririshwa ujinga

Hii dhana ya woga waliyowalisheni viongozi wenu inadhihirisha dhahiri mlivyo na akili za kushikiwa

Mkitumia huu msemo wenu napata picha Kama ya vipaka vinavyopita chini ya meza ya maakuli vikiombeleza chakula..Sijui kwanini.!
 
badala ya kujadili mada umeanza persona attacks sasa, matusi hahaa, ndio wafia dini mlivyo, mnafura na kumshambulia anayeleta mawazo badala ya kukosoa hoja zake kwa hoja, ndio maana Dini ni chanzo cha ugaidi na mauaji mengi sana Duniani, sababu wafia Dini hawawazi kwa logic, ni hasira, kupiga na kuua tu

hapa mzee tunajadili hoja sio mimi, mimi nikikutajia ni mtu wa aina fulani utaamini vip wakati tunatumia fake IDs?

Hiyo quote ni uongo, Einstein hakuwa muumini wa Kikristo, kasome Historia yake zipo Google ipo, hakuwa hata mtu wa siku nyingi, ni wa karne ya 20. Anyway hata akiwa au asipokuwa muumini haithibitishi Bible au Quran ni ya kweli

Binadamu kuumba uhai hilo ni debate nyingine, ukitaka tuanze kujadil chano cha uhai hiyo ni debate nyingine ndefu

Na hata kama binadamu hawezi kuumba uhai, je hilo ndio linalothibitisha kuwa Bible na Quran ndio vya kweli? Logic umeitoa wapi hiyo ndugu?

Kwa hiyo mtu akikuletea nadharia za kufikirika, zisizo na mantiki kuhusu uhai utaziamini tu kisa binadamu hawezi kuumba uhai?

Hii Dunia ya leomimekuwa ya amani na utulivu kwa sababu Dini imeondolewa kwenye siasa za kuendesha nchi, Wazungu waliona Dini ni upuuzi na ndio maana wakaitoa, Kipindi cha Dini na serikali kuwa kitu kimoja Dunia ilijaa machafuko na ugaidi, sababu Dini zenyewe zimejaa ugaidi na zimeenezwa kwa ugaidi

Baadhi ya Nchi za Kiislam zimechanganya bado Dini kwenye katiba zao ndio maana haziachi machafuko
 
Anayefura kati yangu na wewe ni nani?

Kuita Maandiko upuuzi, kunaonesha akili zako zilivyo!

Ungekuwa una-experience ya mambo ya kidini na uponyaji ungeelewa kwanini nimezungumzia Uhai.

Tatizo, huna.
 
Huwezi ukajua kila kitu, mfano rahisi tu kwa nini damu ni nyekundu na sio ya blue??

Ndio maana tunajiuliza kwakufanya tafiti tupate majibu..
Nasio uvivu wa kusema majibu anayo mungu..ambae haexist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…