Psalm 14 King James Version (KJV)
14 The fool hath said in his heart, There is no God.
wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/
Kukwepa maswali yanayo onyesha udhaifu wa hoja zako ni kawaida yako.
Jibu swali we kiranga.
Umeulizwa unaamini Wanga wapo?
Unafahamu wazi kabisa kuwa wanga ni jamii ya WACHAWI sasa acha utoto .
Na mimi nakuongezea .
Kifo ni nini? Au Roho ni nini.
Na kwanini LAZIMA viumbe WAFE ?
Na ukiambiwa mtu KAFA kifo cha kawaida(Natural Death) nini hasa kilichokufa hapo?
Jibu maswali km wewe ni Atheist anaejitambua.
Unaamini wanga wapo?
The fools are the ones whom can not think for themselves, wanasubiria wapewe dogmas kama marobot
KJV...huyu jamaa kwanza alikua shoga siwezi fuata kitabu cha "king james version" who is he..? what authority over me/us aliyonayo kunichagulia mm nini chakufuata..
Fungua akili ww mwafrika acha utumwa wa fikra za hawa Authorised KJV...matatizo yenu mtakua nayo tuu atamkimuomba vipi huyu mzungu wenu tapeli..
Bullshit tupu, nyie wafia Dini sijui hizo quote mnazotunga mnafikiri mtamdanganya kila mtu?Hao hapo Einstein Newton wako...
Teh teh te.Kifo ni hali ya kitu kilichokua hai kushindwa kuhimili mazingira kilichopo kwa wakati huo.
Pia, hakuna kitu kinaitwa roho. Hayo ni mafunzo ya kwenye imani za kidini zinazoendana na kuamini.
Sasa hapo kuna swali au hoja umejenga au basi tu umeamua kutokwa na mapovu sababu JF haina kiingilioWewe neno mungu unalielewaje au huyo mungu wenu hewa wa mawinguni mnaimagine anafananaje..
Au wachungaji wenu matapeli wamewafundishaje juu ya huyo mungu wenu anaeenda kutukuzwa bila hivyo anawachoma na moto wakusadikika..
So, what is the origin of everything we see, touch, taste, hear, smell (with our naked eyes and gadgets).The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.
Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..
Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..
Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations
Matsunani na matetemeko yana amuliwa na nani?Anaeamua kipi kibaya na kipi kizuri ni nani?
Wewe au Nani.
Kwaiyo kwa matakwa yao ya watu wachache kunaondoaje dhana ya mabaya ambayo yanawakumba watu wengi eti kisa tu wao wanatamani wagonjwa waongezeke??Pharmaceutical companies wanatamani magonjwa yaongezeke wapate kuuza dawa.
Na hospital binafsi zinatamani wagonjwa waongezeke ili biashara iwe nzuri.
Mashirika na watu binafsi yanayoshughulikia Habari za VIFO na Mazishi na wao wanatamani Vifo viongezeke wafanye Biashara.
Hujaelezea ni kwa namna gani yanafaidisha, na hata ukielezea haitaondoa ubaya wake na ndio maana hakuna mtu anatamani kua mhanga wa tsunami na matetemekoTsunami na matetemeko yanafaidisha wengi mno tofauti kabisa na wewe unavyoelewa.
Kwani hao watengeneza silaha wao wanatamani wafe waache kazi yao pendwa ya kutengeneza silaha ili wauze??Watengeneza Silaha wanatamani vita visiishe ili wauze Silaha.
swali la "nani" halitakua na mantiki kwenye mabaya yanayoletwa na tetemeko pamoja na tsunamiSasa nani mwenye kuamua kipi kizuri ktk Hii Dunia ? Na nani apewe hicho anachotaka?
Au hujasikia msemo usemao "kwako kilio kwangu sherehe?
Kama mabaya ni kazi ya mungu sasa kwanini mseme shetani ndiye chanzo?Kazi ya kipi kizuri kwetu na kipi kibaya ni KAZI YA MUNGU.
Haja kubwa nayo ni imperfection kuonesha sijaumbwa na mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Wewe funga mkanda ujiandae tu chochote utakachopangiwa.
Hata kwenda haja kubwa wewe huna hiari kweli utaweza kujua kipi kibaya au kizuri kwako?
Bullshit tupu, nyie wafia Dini sijui hizo quote mnazotunga mnafikiri mtamdanganya kila mtu?
Yaani kwa mtu yoyote anayewaza rationally tu, achilia mbali wanasayansi, anajua kabisa Bible, Quran ni siasa tu za zamani za watu,
kua na bayana na mambo yasiyoonekana?? je unakubali kulikuwako na mtu anaitwa adolf hitler?? je unaamini au unafaham yupoUnaelewa nini kuhusu kuamini?
Tofauti ya kujua na kuamini ni ipi mkuu?Mimi najua wanga wapo.
Unapozungumzia kuamini ni tofauti na kujua.
Vipi wewe unajua mungu yupo au unaamini mungu yupo?
Siku zote jambo lolote la imani huwa na wenye kuliamini na wasioamini,na suala la Mungu ni la imani hivyo lazima watakuwepo tu wenye kuamini na wasioamini.Ukweli ni kwamba mungu muweza wa yote na mjuzi wa yote mwenye uwezo wote aliyeumba huu ulimwengu ambao una mabaya ya kila aina hayupo, angekuwepo kusingekua na mabaya wala kutilia shaka juu ya uwepo wake
Acha kujitoa ufaham, angali unaelewa nature ya swali.Wewe umezaliwa..
Gari ndilo limetegenezwa. haya maswali mengine niya watoto wenu kuuliza..
Kibiologia wewe ni matokeo ya mbegu ya baba yako na yai la mama yako.mbona jepesi
Mkuu una kashata hapo unisogezee hapa, naona kahawa inaanza kuwa chunguNiko pembeni nakunywa kahawa...,
Umeandika nini hapoSiku zote jambo lolote la imani huwa na wenye kuliamini na wasioamini,na suala la Mungu ni la imani hivyo lazima watakuwepo tu wenye kuamini na wasioamini.
Sasa ukisema hakuna Mungu kisa kuna watu wana mashaka juu ya uwepo wa Mungu utakuwa unaongea usivyovielewa.
Nimezungumzia hoja yako kusema kwamba kama Mungu angekuwepo basi uwepo usingekuwa na mashaka.Umeandika nini hapo
Kwamba kipara ni rangi ya nywele?
Kwaiyo hiyo nayo ni imani?Nimezungumzia hoja yako kusema kwamba kama Mungu angekuwepo basi uwepo usingekuwa na mashaka.
Hiyo nini suala la uwepo wa Mungu?Kwaiyo hiyo nayo ni imani?