God was created when the first con-man met the first fool

Kama ilivyovigumu kwa computer yako kukufikiri na kujua mawazo yako,ndivyo ilivyokwako kumfikiri Mungu na kujua Mawazo yake. Kama ulizaliwa mwaka mfano : 1990 June,huwezikujua yaliyokuwepo kabla yake hata ukifikirije Bali aliyekuwepo kabla ndiye awezaye kukuhabalisha.
Sasa huyo mjomba ako..kazaliwa juzi et anapinga...sasa anataka ushahid wa picha vidoe..au nn..mana watu huwa hawajui nn wanataka...
 
Hilo la kukutana na Mungu kama kweli yupo_ ndugu ondoa Shaka wala sina hofu nalo

Nitamuuliza tu "ilikuwaje aniumbe njiwa halafu anikataze kula mtama" basi hilo tu_ akinijibu roho nitakabidhi kwake
Kama unapinga kuwepo kwa Mungu endelea kupinga lkn usitake kuhalalisha uovu wako kwa kisingizio kuwa ndivyo ulivyoumbwa au kuzaliwa.

Kipi Mungu amekuumbia ambacho LAZIMA ukipate au ukifanye kisha AKAKUKATAZA?
Uzinzi, pombe, wizi, au ulaghai?
Kipi ambacho MUNGU AMEKATAZA lkn Wewe Huna jinsi ya Kukiepuka au LAZIMA UKIPATE AU UKIFANYE?
Altunafahamu kuwa Asilimia zaidi ya 80% ya wanaopinga Uwepo wa MUNGU ni aidha waasherati, wizi , waongo na wapenda machafu. Lkn hii haikupi nafasi ya kuutetea Uovu wako kwa kisingizio kuwa lzm uyafanye manake ndivyo ulivyo.

Huo mfano wa njiwa alikaetazwa kula mtama ni sawa wewe kuzini ukisingizia ashk zako ambazo una uwezo wa kuzidhibiti au ukaoa mke na kupunguza hayo matamanio yako.
 
Sio kwamba Mungu hayupo, hata wewe pia ni Mungu. Shida inakuja vile tunavyomchukulia huyu Mungu sijui kumwabudu, kumsifu kumtolea sadaka n.k hapa ndipo tulipologwa na wazungu. Hakuna Mungu wa aina hiyo Mungu ni Mimi na wewe yaani sisi ni Mungu.
nimecheka kinoma.... Kumbe mimi ni mungu☀️
 
Huo mfano wa njiwa alikaetazwa kula mtama ni sawa wewe kuzini ukisingizia ashk zako ambazo una uwezo wa kuzidhibiti au ukaoa mke na kupunguza hayo matamanio yako.

We jamaa acha zako nyie wenyewe mnaoa wanne mke mmoja toka lini akatosha..!?

Na yule aliyeoa mia saba mbona hakulaaniwa..! Mungu wenu anapendelea sana na ndio maana siamini kama yupo

Na kama naishi na mwanamke mmoja ujue naogopa tu maradhi si kwamba wengine siwatamani au naogopa Mungu hakuna iyo

Nyie mmetishiwa moto ndio maana mnatii kinafki _Mwanamke kama pesa tu hakuna mwisho wa kizitafuta
 
Teh teh teh
Sasa naona umemaliza hoja unaanza kashfa km walivyo waabudu wanawake wengine.

Kuoa wake wanne ni moja ya Ruksa tulizopewa na Muumba ili matamanio yetu yapungue zaidi lkn kweli kabisa mwanamme mzinzi hata akioa wanawake 100 huyo atabaki kuwa MZINZI mpk siku atakapoamua kuacha.

Na wewe kutuita sisi wanafiki si kitu cha ajabu.
Mtu wa namna yako akikutana na mwanamke anaemtaka huwa anakula mpk mtaji. Lkn usimlaumu Mungu.
Hizo ni nyege zako out of control.
I suggest for you to go and seek medical advice before you catch Ebola.

That's my humble opinion to you
 
Hoja ni kwamba kaniumba njiwa mtama halali yangu asiniingilie

We si ulisema awali kuwa katupa uhuru..Sasa kwanini anaingilia wakati yeye yupo mbinguni duniani ni kwetu..!? Basi kama ni ivyo atakuwa mkorofi na siyo sifa nzuri ya Mungu ubaunsa siyo kitu kizuri
 
Ndio umepewa uhuru wa kuchagua mema au mabaya
 
Kuna mema na mabaya tu...kwaiyo wewe chagua mwenyewe kwa akili zako..
Kwa kipimo gani Cha wema na ubaya..?

Maana nisije nikaenda Serengeti au mikumi nikakuta simba anaua swala mwenye watoto kwenda kushibisha matumbo ya wanae nikaona ni ukatili na ubinafsi wa bwana simba hivyo hapaswi kuishi
 
Sasa kama unakataa shahid kama za kina galileo na newton na eisten kwa maandishi... Sasa unataja uthibitisho upi wa kua yesu alikuwako ..picha ..video au??
Uthibitisho wa kuonesha Galileo alikuwepo ni wa namna gani?
 
We jamaa acha zako nyie wenyewe mnaoa wanne mke mmoja toka lini akatosha..!?

Na yule aliyeoa mia saba mbona hakulaaniwa..! Mungu wenu anapendelea sana na ndio maana siamini kama yupo

Na kama naishi na mwanamke mmoja ujue naogopa tu maradhi si kwamba wengine siwatamani au naogopa Mungu hakuna iyo

Nyie mmetishiwa moto ndio maana mnatii kinafki _Mwanamke kama pesa tu hakuna mwisho wa kizitafuta

We jamaa acha zako nyie wenyewe mnaoa wanne mke mmoja toka lini akatosha..!?

Na yule aliyeoa mia saba mbona hakulaaniwa..! Mungu wenu anapendelea sana na ndio maana siamini kama yupo

Na kama naishi na mwanamke mmoja ujue naogopa tu maradhi si kwamba wengine siwatamani au naogopa Mungu hakuna iyo

Nyie mmetishiwa moto ndio maana mnatii kinafki _Mwanamke kama pesa tu hakuna mwisho wa kizitafuta

Amesahau kua vitabu vyao vimeelezea namna ya ufuska wa watu walivyokua wanaoana ndugu kwa ndugu kama wanyama, mama anazaa na mtoto wake au dogo anazaa na sista yake na mungu wao anachekelea tu
 
Ahsanta kunisaidia kumuelewesha Huyu kiumbe mpenda maovu. Ambae haridhiki na maovu anayofanya Bali anataka kumsingizia Muumba yasioingia akilini
Uwepo wa maovu ni ushahidi mungu hayupo
 
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.

Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..

Wengi wenu humu mmelishwa dogmas na mmeishia na imagination kila mtu na zake juu yuu ya mungu anafananaje/yukoje na yupo wapi..

Niishie kusema belief has no place where the truth is concerned, and the truth God is just an illusion in Your imaginations

Psalm 14 King James Version (KJV)
14 The fool hath said in his heart, There is no God.
 
Siku muulize mtoto wa miaka miine au mitano kuhusu Mungu..af leta mrejesho..

Kama wewe mtu mzima umeshindwa kuyajibu mtoto atawezaje??

Kwanini tumpakazie maswali mtoto kwenye vitu ambavyo hajasema kua vipo??

Ni halali mimi kukuuliza simu yako unayotumia uliiba wapi wakati hukuwahi kuniambia kua uliiba? Swali hili litakua na uhalali kwako?
 
Back
Top Bottom