Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,316
- 12,768
Mzee, kwani wewe kuitwa Yohana inamaanisha hakuna yohana mwingine duniani?Kwa hiyo unataka kusema huyo mkristo Alie andika hiyo surah hakujua kutofautisha harun na Mariam Alie mzaa Isa kumbuka Imran nae alikuwa na mtoto anaitwa Mariam hapa ndipo character walipo changanywa
Na wayahudi walimfuata Muhammad wakamwambia anachanganya maandiko yao na anachanganya majina
Wote ndiyo waliitwa Imran.
Mmoja alimzaa miriam dada ake musa
Mwingine alimzaa maryam mama ake yesu.
Wewe ndo unachanganya, wala Quran haijasema Imran baba ake Musa ndiye baba ake mama wa yesu