God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

Ni history zao na hawajakosea , Alie kuja kuiba kazi za wayahudi ndio kapuyanga vibaya
Kafiri unakaza fuvu kwa hoja za kizezeta. Inaelekea biblia haujamaliza hata sura moja.
Kwenye biblia sifuri kichwani utaweza kuielewa Qur'an.
Au haufahamu Musa na ndugu yake Harun wametajwa kwa pamoja kwenda kumuendea firauni kwenye Qur'an kumpa mawaidha.
Hizi tabu za kunyofoa vitu ovyo google bila kufuatilia ndiyo tabu yake hadi pumba unamezeshwa za ovyo.
Biblia ina 'numerical contradictions' kuliko kitabu chochote pamoja na biblia mpya kila kukicha.
 
Huyu John wetu wa mtaani tunayemuita magufuli ni mchaga
Huu ndio utetezi WA kitoto alitoa , ila jopo lilimfuata mpaka katoto Aisha kumwambia amwambie Muhammad anaharibu historia ya Wayahudi
 
Kafiri unakaza fuvu kwa hoja za kizezeta. Inaelekea biblia haujamaliza hata sura moja.
Kwenye biblia sifuri kichwani utaweza kuielewa Qur'an.
Au haufahamu Musa na ndugu yake Harun wametajwa kwa pamoja kwenda kumuendea firauni kwenye Qur'an kumpa mawaidha.
Hizi tabu za kunyofoa vitu ovyo google bila kufuatilia ndiyo tabu yake hadi pumba unamezeshwa za ovyo.
Biblia ina 'numerical contradictions' kuliko kitabu chochote pamoja na biblia mpya kila kukicha.
Haibadilishi Muhammad aliandikiwa surah hiyo na mkristo na ndio aliechanganya historia ya Wayahudi na hawakumuacha walimfuata Muhammad wakitaka arekebishe akakaza fuvu na kutoa utetezi WA kitoto

Huyu mkristo akakiri wazi Muhammad hajui kitu Chochote nilichoandika
 
Huu ndio utetezi WA kitoto alitoa , ila jopo lilimfuata mpaka katoto Aisha kumwambia amwambie Muhammad anaharibu historia ya Wayahudi
Mzee KITABU CHA ZAMANI CHA BIBLIA KIMEANDIKWA MWAKA GANI?
 
Ule ulikuwa ni utamaduni wa wayahudi kuitana kwa wajina...
Kwa Imran umesema ni wawili jina moja , kwa harun unasema wajina

Alieandika alikosea akachanganya mariam dada ya Musa akajua ndio huyu Mariam aliemzaa Yesu ikabidi akaze fuvu asibadili

Shida kuiba kazi za watu na kufanya zako

Yeye Muhammad angeandikaga tu historia ya waarabu apachike na majini amalize kazi
 
Nani kasema ni kiumbe , Mungu wa wakristo ni Roho

Na Allah ni physical being

Mada haisemi tunahoji yohana alipo pata maandiko , anzisha mada Yako ukihoji maandiko
Nimecheka sana. Una roho ?

Ndiyo Allah ana umbile.

Lazima tujue ukweli wa maneno siyo unatuwekea wekea tu vitu visivyo kuwa na kichwa waa miguu na visivyo ingia akilini.

Yesu najua hawezi kusema maneno hayo, tuambie Yohana hizi habari amezipata wapi ? Hili ni munasaba na mada husika, kama huna jibu kaa kimya.
 
Unajaribu kunitoa kwenye Muhammad na kuchanganya historia ya Wayahudi

Ingia google soma
Wewe nmegundua unaruka ruka na kukimbia maswali.

Mbona maswali yako najibu sikuambii kuhusu google??
Mbona wewe ni muoga hivo joh?
 
Unajaribu kunitoa kwenye Muhammad na kuchanganya historia ya Wayahudi

Ingia google soma
Si umesema Mtume Muhammad alikuwa ana copy story za Mayahudi, mtu asiye jua kusoma wala kuandika alikuwa ana copy vipi ? Hili unatakiwa uliwekee ushahidi usiwe mjinga kiasi hiki.
 
Haibadilishi Muhammad aliandikiwa surah hiyo na mkristo na ndio aliechanganya historia ya Wayahudi na hawakumuacha walimfuata Muhammad wakitaka arekebishe akakaza fuvu na kutoa utetezi WA kitoto

Huyu mkristo akakiri wazi Muhammad hajui kitu Chochote nilichoandika
Mkristo yupi aliyemuandikia? Nioneshe wapi Mungu katukanwa kwenye biblia kama kwenye wakorintho 1:25. Nioneshe kwenye Qur'an nabii Daud kambaka mke wa mtu, Nuhu amekaa uchi, Musa kuagizwa na Mungu kuua viumbe vyote na kuacha mabinti bikra kwa matumizi ya baadaye na manabii wengine mliowachafua.
Nioneshe contradiction za dhahiri kama za umri zilizochanganywa za kina Ahazia, Joachim n.k.
Huyo mkristo alikuwa anaandika biblia kwa kuwakosoa msimuabudu Yesu nyie wakristo?
Hivi unaijua balagha ya Qur'an kwa lugha iliyotumika na mpangilio wake hakuna kitabu chochote kinachofikia 'linguistic miracle'.
Hivi unafahamu biblia zipo tofauti hizi za kiswahili mnazotumia?
 
Hao ni Character wa wayahudi wao ndio wanaijua histria Yao kuliko Muhammad Alie copy

Soma apo nyuma nimeweka mkristo alieandika surah ndefu za Koran na akatubu akarudi zake kwa Yesu
 
Wayahudi wanadai Yesu mtoto wa zinaa. Unasemaje kwa hoja yako hiyo ikiwa unasema character wao wanawajua vizuri?
 
Si umesema Mtume Muhammad alikuwa ana copy story za Mayahudi, mtu asiye jua kusoma wala kuandika alikuwa ana copy vipi ? Hili unatakiwa uliwekee ushahidi usiwe mjinga kiasi hiki.
Ushahidi upo alikuwa sio kiziwi

Na pia Hadith mmeweka mkristo alikuwa anamuandikia
 
Wayahudi wanadai Yesu mtoto wa zinaa. Unasemaje kwa hoja yako hiyo ikiwa unasema character wao wanawajua vizuri?
Ndio maandiko yao na wameyahifadhi toka enzi , kama wameweka historia ya kizazi Cha Yesu wao ndio wakweli , Muhammad kaja kayakuta
 
Back
Top Bottom