Usikwepe huyu mkristo alikuwa anaandika utunzi wake na muhammad alikuwa hajui chochote anacho andika , hii ndio sababu kubwa akaachana na Muhammad akajua jamaa kanjanjaKilichomfanya kubadili ni alipogundua Muhamad hajui mengine nje ya anayofunuliwa.
Ndiyo maana kasema BUT hapo
"He knows nothing But the ones I write for him"
Alichanganya akadhani Muhamad ni Mungu anajua kila kitu...wakati Muhamad ni binadamu tu ambaye nayeye ni kama chombo ambacho mungu alitumia kufikisha Ujumbe wake.
Mwisho wa siku jamaa akafa kifo Cha kutatanisha wakasema Allah kamuua