God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

Humans are part of God period,ukiweza zama deep in yourself ukadrop thinking,ego,knowledge n.k ukaanza kuwa empty una arise kwenye source yako yani you together with whole
Nadani hii ndio jibu la mada jamaa aliyoileta kila kitu kipo connected na source moja
 
Hizi dini zenu zilizoanzishwa na mapedophiles hizi hovyo tu! [emoji706][emoji706][emoji706]

View attachment 2461964
Chuki na wivu dhidi ya uislamu kama ubabisha kalete Author wa hiyo literature
 
Ipo hivi 😂😂😂 wacha nikufundishe kitu we muslims aint dumb or stupid kwanini hoja yako ni dhaifu ni kwa sababu hizi.

1. Moja ya kipawa Allah ( The exalted one) alimpatia mtume wake ni kutokusahau chochote atakachofunuliwa (wahyi) yaani jibril (alayhi salam) alikuwa akishuka na kumpatia wahyi basi haufutiki kichwani kwake yaani hausahau kabisa ispokuwa atasahau yale aliyotaka yeye ALLAH (the all powerful) asahau , ushahidi tunaupata kwenye surah ya 87 (surat a'ala) hebu tuangalie kile mola wetu muumba wa vyote alimwambia mtume wake kipenzi

87:6-7

6. سَنُقۡرِئُكَ فَلَا تَنۡسٰٓىۙ‏
Tutakusomesha wala hutasahau

7. اِلَّا مَا شَآءَ اللّٰهُؕ اِنَّهٗ يَعۡلَمُ الۡجَهۡرَ وَمَا يَخۡفٰىؕ
Ila akipenda mwenyezi Mungu. Hakika yeye anayajua yaliyo dhaahir na yaliyofichikana.

☝🏾☝🏾 Kwa ushahidi huo hapo hata kama jamaa yenu huyo mkristo angetaka kubadili aya basi asingeweza maana angekuja mtu/swahaba wake mwengine angesoma na mtume muhammad (radhi za Allah ziwe juu yake) angejua tu kuwa nukuu hiyo imekosewa so tunavunja point zako kwamba aliandikiwa 😂😂 easily .

2. Allah (The only king) amesema haya hapa kwenye kitabu chake kitukufu tuangalie surat hijri (surah ya 15 aya ya 9)

15:9

9. اِنَّا نَحۡنُ نَزَّلۡنَا الذِّكۡرَ وَاِنَّا لَهٗ لَحٰـفِظُوۡنَ‏
Hakika sisi ndiyo tulio teremsha ukumbusho huu, na hakika sisi ndio tutao ulinda.

Kwa hiyo hata ingekutumika njia gani kujaribu kubadili hizo aya tukufu basi ingeshindikana na hakuna ambacho kingewezekana kamwe mpaka sasa quran imebaki on its pure form WHAT A MIRACLE

I GUESS UMEELEWA NILICHOKIANDIKA 😂😂
Kuna USHAHIDI kwamba alikuwa akishukiwa na Jibril na si kutamka mawazo yake binafsi???

Kwasababu hata hayo bado ni maneno yake..
 
How can i achieve that state of nothingness and emptiness?
Humans are part of God period,ukiweza zama deep in yourself ukadrop thinking,ego,knowledge n.k ukaanza kuwa empty una arise kwenye source yako yani you together with whole
 
Kuna USHAHIDI kwamba alikuwa akishukiwa na Jibril na si kutamka mawazo yake binafsi???

Kwasababu hata hayo bado ni maneno yake..
Ukiachana na quran ambayo ndiyo msingi mkuu, then ushahidi mwengine upo na tunaupata kwenye hadith nyingi tu Maswahaba wanashuhudilia hili in different occassions .

And nikuulize swali maria alivyoshukiwa na Gabrieli nani alikuwa naye? , ibrahim aliposhukiwa na malaika kuzuiwa kumtoa mwanaye kafara nani alikuwepo naye?, yakobo alipopigana na Mungu( kama inavyoamiwa na waumini wengi wa kikristo) na akamshinda nani alikuwepo naye? , petro alipokombolewa jela na malaika nai alikuwepo naye ?, mchunga mbuzi alipojiwa na malaika akaambia habari za kuzaliwa yesu nani alikuwepo naye ? .

IN FACT NINAWEZA KUWEKA ACCOUNTS NYINGI TU ZA KWENYE BIBLIA AMBAZI WATU WALISHUKIWA NA MALAIKA NA WAKIWA PEKE YAO NA WAKAWASIMULIA WENGINE NA WAKAAMINIKA JE? IF WE USE SAME LOGIC ULIYOTUMIA KUNIULIZA SWALI HAO WATU WANA PROOF GANI? AU HUWA HAUSOMI MAANDIKO YA DINI /IMANI YAKO?

The issue of the last prophet of Allah( the exalted one) ,prophet muhammad (swalalah alayhi wasalam) ni rahisi sana kui prove kwamba ni kweli kwa sababu hizi

1. Alikuwa hajui kusoma wala kuandika then how come aje na kitu ambacho ni well dertailed without errors na chenye uandishi ulio sahihi kabisa wa lugha ya kiarabu?

2. Mafunuo yote yaliyo ndani ya quran baadhi yameshatokea na kuna ambayo yatatokea na ambayo pia yanatokea how did he know all those?

3. Ndani ya quran kuna scientific studies nyingi sana ambazo recently ndo wameanza angalau kuzigundua ushahidi upo kama utahitaji.

Nyongeza
Mlishapewa challenge mlete angalau aya moja kama ya kwente quran isiyo na errors zozote kama mtaweza mpaka leo hamjaleta kitu chochote
 
Mlishapewa challenge mlete angalau aya moja kama ya kwente quran isiyo na errors zozote kama mtaweza mpaka leo hamjaleta kitu chochote
Alietoa challenge mwenyewe ka chukua Aya mpaka za siafu wanaongea yeye kapachika kwenye Koran

Alafu ni ujinga kusema walete kama ya Koran , si lazima useme wamekopy
 
Mlishapewa challenge mlete angalau aya moja kama ya kwente quran isiyo na errors zozote kama mtaweza mpaka leo hamjaleta kitu chochote
Quran inaweka challenge wakati tayari ina maneno mpaka ya shetani, maneno ya majini, wadudu , binadamu, ndege n:k
  • Anza na talking ants, maneno ya ant ndani ya koran
    • 27:18. ...., alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu! Ingieni majumbani mwenu, asikupondeni Sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua.
  • Aya za Binadamu, Sulaiman
    • Sulaiman .....akasema: Imekuwaje, mbona simwoni Hud-hud, au amekuwa miongoni mwa walio ghibu?
  • Aya ya Ndege Hud Hud
    • 27:22. Basi (Hud-hud) akakaa si mbali na akasema: Nimegundua usilo gundua wewe, na ninakujia hivi kutoka nchi ya Sabai, na nakuletea khabari za yakini.
  • Aya ya shetani
    • Hijr:39. [Iblis (Satan)] said: "O my Lord! Because you misled me,.....
  • Sura ya majini , hii ni almost surah nzima ni yao wanaongea
    • Jinn: 1 - ....kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu
 
𝐈𝐬 𝐢𝐭 𝐧𝐨𝐭 𝐚𝐧 𝐢𝐧𝐬𝐮𝐥𝐭 𝐭𝐨 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐫𝐞𝐝𝐮𝐜𝐞 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐦𝐚𝐧?

1. God comes out of a woman's belly (Matthew 1:18-25)

2. God eats and drinks (Matthew 26:29)

3. God rests (Genesis 2:1-3)

4. God is sleeping (Mark 4:38)

5. God wrestles with Jacob (Gen 32:28)

6. God is dying (1 Corinthian 15:3-4)

𝐁𝐮𝐭 𝐬𝐡𝐨𝐮𝐥𝐝𝐧'𝐭 𝐭𝐡𝐞 𝐟𝐨𝐥𝐥𝐨𝐰𝐢𝐧𝐠 𝐛𝐞 𝐭𝐫𝐮𝐞 𝐢𝐧𝐬𝐭𝐞𝐚𝐝?

1. Not is He begotten; Quran (12:3)

2. He does not need anything Quran (35:15)

3. “He who created the heavens and the earth and does not tire of creating them... Qurna (46:33)

4. Neither heedlessness nor sleep will reach him. Quran (2:255)

5. He has no equal. Quran (2:4)

6. He is always alive. Quran (2:255)

His glory is exalted (and above your attributes). Quran (19:35)

Whoever wants to meet god should know that the time appointed by God will definitely come. Quran (29:5)

𝐑𝐞𝐯𝐢𝐞𝐰 𝐚𝐧𝐝 𝐜𝐨𝐦𝐩𝐚𝐫𝐞 𝐢𝐭𝐞𝐦𝐬 𝐨𝐧𝐞 𝐛𝐲 𝐨𝐧𝐞. 𝐀𝐬 𝐭𝐡𝐞 𝐐𝐮𝐫'𝐚𝐧 𝐬𝐚𝐲𝐬 𝐢𝐧 𝐦𝐚𝐧𝐲 𝐯𝐞𝐫𝐬𝐞𝐬. 𝐓𝐨 𝐫𝐞𝐚𝐝! 𝐋𝐨𝐨𝐤! 𝐓𝐡𝐢𝐧𝐤! 𝐔𝐬𝐞 𝐲𝐨𝐮𝐫 𝐦𝐢𝐧𝐝!View attachment 2457590
Huyu hapa akitoa kwa KALAMU:

68_1.gif

1. Nuun. Naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo, 1

68_2.gif

2. Kwa neema ya Mola wako Mlezi wewe si mwendawazimu. 2

Katika Quran, Mwenyezi Mungu anaapa kwa mambo mbalimbali ili kusisitiza jambo au kutoa ahadi. Kwa mfano, anaapa kwa nyota (Quran 56:75), kwa mapambazuko (Quran 89:1), na kwa nafsi (Quran 75:2). Mtini na mzeituni ni vitu viwili ambavyo Mwenyezi Mungu anaapa navyo katika Quran. Anaapa kwa mtini katika Sura At-Tin (Quran 95:1) na kwa mzeituni katika Sura Al-Baqarah (Quran 2:23).

Huyu impostor tutamchambua humu mpaka mlikimbie jukwaa. Tunawatazama tu kwa sasa.
 
Hapa chini tutaona MUNGU Mwenyezi eti akiapa kwa Kiburi cha Yakobo. Lakini tuangalie kwanza mistari ifuatayo kutoka katika Biblia:

Waebrania 6:12-14

12 Hatutaki muwe wavivu, bali muige wale ambao kwa imani na uvumilivu wanarithi yale yaliyoahidiwa.

13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, kwa kuwa hakuna aliye mkuu zaidi kwake ambaye angeweza kuapa kwa yeye, aliapa kwa nafsi yake.

14 akisema, Hakika nitakubariki na kukupa uzao mwingi.

Mwanzo 22:15-17

15 Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni

16 akasema, Naapa kwa nafsi yangu, asema BWANA, kwamba kwa sababu umefanya hivi, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,

17 Hakika nitakubariki na kufanya wazao wako kuwa wengi kama nyota za mbinguni na kama mchanga wa pwani. Wazao wako wataimiliki miji ya adui zao,

Hapa Malaika anamfunulia Ibrahimu kile ambacho MUNGU Mwenyezi alimwagiza Malaika amfunulie Ibrahimu. MUNGU Mwenyezi aliapa kumbariki Ibrahim, amani iwe juu yake.

Yeremia 22:4-5

4 Kwa maana kama mkishika amri hizi kwa uangalifu, ndipo wafalme wanaoketi kwenye kiti cha enzi cha Daudi wataingia kupitia malango ya jumba hili la kifalme, wakiwa wamepanda magari ya vita na farasi, pamoja na maofisa wao na watu wao.

5 Lakini msipozishika amri hizi, asema BWANA, naapa kwa nafsi yangu kwamba jumba hili la kifalme litakuwa magofu. "
 
KIJANA WACHA KURUSHA VICHWA ; PATA ELIMU HAPA UWACHE UKAFIRI

Ni muhimu kuelewa:

1- Mwenyezi Mungu Mtukufu katika Aya 89:5 hakika alieleza umuhimu wa NADHIRI au KIAPO Chake. Lakini hakuwahi kusema "naapa".

2- Tena kumbuka kwamba Mwenyezi Mungu Mtukufu katika Aya kadhaa tukufu amesema “Sihitaji kuapa” (فلا اقسم).

3- Pia, Oqsim (اقسم) ni tofauti na Qasam (قسم).

Qasam inaweza kumaanisha kiapo au nadhiri au msisitizo juu ya jambo fulani ndani ya Quran Tukufu.

Oqsim maana yake ni “Naapa”, na kila Mwenyezi Mungu Mtukufu alipotumia Oqsim alitangulia kwa FALA فلا (sihitaji). Kila mara Mwenyezi Mungu Mtukufu alipotumia Oqsim اقسم, Alitanguliza kwa “Sihitaji...” فلا:

"Sihitaji kuapa kwa..." (فلا اقسم)

4- Qasam ni ya jumla. Inaweza kumaanisha Kiapo, lakini pia inamaanisha Nadhiri. Hapa Mwenyezi Mungu Mtukufu maana yake ni Nadhiri na Ahadi ya Mwenyezi Mungu.

5- "Oqsim" اقسم (naapa) ni daraja ya juu kabisa katika kula kiapo au nadhiri. Mwenyezi Mungu Mtukufu kamwe hakuitumia. Vidogo kama vile wa (و) na la (ل) vilitumiwa na Mwenyezi Mungu Mtukufu, na vinasisitiza tu juu ya umuhimu wa kitu. .
 
Quran inaweka challenge wakati tayari ina maneno mpaka ya shetani, maneno ya majini, wadudu , binadamu, ndege n:k
  • Anza na talking ants, maneno ya ant ndani ya koran
    • 27:18. ...., alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu! Ingieni majumbani mwenu, asikupondeni Sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua.
  • Aya za Binadamu, Sulaiman
    • Sulaiman .....akasema: Imekuwaje, mbona simwoni Hud-hud, au amekuwa miongoni mwa walio ghibu?
  • Aya ya Ndege Hud Hud
    • 27:22. Basi (Hud-hud) akakaa si mbali na akasema: Nimegundua usilo gundua wewe, na ninakujia hivi kutoka nchi ya Sabai, na nakuletea khabari za yakini.
  • Aya ya shetani
    • Hijr:39. [Iblis (Satan)] said: "O my Lord! Because you misled me,.....
  • Sura ya majini , hii ni almost surah nzima ni yao wanaongea
    • Jinn: 1 - ....kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu

Kweli umechanganyikiwa, hivi aya zote hizo ulizoleta msemaji ni nani ??? UKAFIRI UTAKUUWA
 
Wasemaji nimewataja , Allah alitakiwa kuwapa acknowledgement
Alitakiwa na nani ??? Wewe ?

When was the New Testament written??

How big was the first New Testament?

Hardly a total of 2 pages, and it was written 100 to 200 years after Jesus. Not early enough by any stretch.

What about NT manuscripts immediately after Jesus?

Zero were ever found. They were never found because none of the writings that were ever made have survived.
 
Hapa chini tutaona MUNGU Mwenyezi eti akiapa kwa Kiburi cha Yakobo. Lakini tuangalie kwanza mistari ifuatayo kutoka katika Biblia:

Waebrania 6:12-14

12 Hatutaki muwe wavivu, bali muige wale ambao kwa imani na uvumilivu wanarithi yale yaliyoahidiwa.

13 Mungu alipompa Abrahamu ahadi, kwa kuwa hakuna aliye mkuu zaidi kwake ambaye angeweza kuapa kwa yeye, aliapa kwa nafsi yake.

14 akisema, Hakika nitakubariki na kukupa uzao mwingi.

Mwanzo 22:15-17

15 Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni

16 akasema, Naapa kwa nafsi yangu, asema BWANA, kwamba kwa sababu umefanya hivi, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee,

17 Hakika nitakubariki na kufanya wazao wako kuwa wengi kama nyota za mbinguni na kama mchanga wa pwani. Wazao wako wataimiliki miji ya adui zao,

Hapa Malaika anamfunulia Ibrahimu kile ambacho MUNGU Mwenyezi alimwagiza Malaika amfunulie Ibrahimu. MUNGU Mwenyezi aliapa kumbariki Ibrahim, amani iwe juu yake.

Yeremia 22:4-5

4 Kwa maana kama mkishika amri hizi kwa uangalifu, ndipo wafalme wanaoketi kwenye kiti cha enzi cha Daudi wataingia kupitia malango ya jumba hili la kifalme, wakiwa wamepanda magari ya vita na farasi, pamoja na maofisa wao na watu wao.

5 Lakini msipozishika amri hizi, asema BWANA, naapa kwa nafsi yangu kwamba jumba hili la kifalme litakuwa magofu. "
Umeona ukuu wa Mungu? Kwa kuwa hana mwingine juu yake huapa kwa nafsi yake mwenyewe, sio kalamu, mara jua nk vitu alivyoviumba. Kwa nini tusimtilie shaka huyu mungu asiyeelewa hata wale vipi?
 
Back
Top Bottom