God is faithful; At last, kwa heri Ubachela

Mungu muumba mbingu na nchi na akulinde uifikie na kuitimiza ndotoyo Kiongozi. Msisahau kuijaza dunia maana ni agizo la Mungu hilo ktk wawili mke na mume wawao mwili mmoja.
 
wawili waaunganika na kuwa kitu kimoja ikawe kwako in jesus name
Happy merriage
 
Back
Top Bottom