Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,393
- 9,517
Buku7000 asee unakula bia tatu na chenchi inabaki. Kwanza maparachichi huko mjini yanaivishwa na kemikali.
Buku7000 asee unakula bia tatu na chenchi inabaki. Kwanza maparachichi huko mjini yanaivishwa na kemikali.
Parefu Sana ndio Maana ni muhimu kutathimini mapema mahali unayotaka kuweka kazi yako, sio unakata kila unaposikia kuna nyumba nzuri, itakukost kwenye gharama za maisha
Ni parachichi la aina gani??
Dar hamlimi hayo matunda, kuna yals makubwa mengi wanatoa nje, kama ni yale 7000 ni halali, ni adimu kidogo.
Ila haya ya kienyeji mbezi pale unayakusanya kama yote kwa jerojero au buku tu.
Unomban n hlo yako si ndio Maana umeamua kuweka makI hapo?Je kma ndio makazi ya kudumu?
😅😅Uchochezi huo 😹
Mkuu ni utofauti wa maeneo tu, mnauziwa kulingana na stutus yenu.Nilikuwa nakaa makumbusho parachichi ilo ilo analo uza 7000 kule nilikuwa nanunua 3000-4000 7000 parefu ina maana ukitaka juice ya nyumbn uandae 40000 kweli hiyo haija kaa sawaa
Ulikosea kwenda na IST yako,ungeipaki mbali kidogo halafu ukavunga kama umeshuka kwenye daladala...Guys
Leo nimashangaa sanaa nimefika goba center wanapo uza matunda nichukue matunda ya juice nime agiza parachichi na embe na passion, naambiwa bill 45 nauliza parachichi shingapi 7000 embe 3000 psion 3 = 2000
Nika mwambia rudisha kwaheri aka sema eee jamn kwanini tena nika muuliza wewe unge weza kununu parachichi moja kwa 7000? Nikapanda gari uyoooo nika mrudishia matunda yake
Nikaongoza njia moja kwa moja njia nne nikanunua nika sepa zangu na nimetumia 12000 tu