Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,865
- 15,299
Tuliwaambia parachichi inalipa mkatuita motivational speaker 😂😂
Kalime na wewe utuuzie bukuWatu hufikiri hela zinaokotwa!
Ni km Goba Centre kituoni tu nilikua nakatisha mitaa ya road maeneo ya Buguruni ngambo ya Kiwanda cha Bhakhresa tu nikagonga karanga zote chini ili nisijaze inzi na mambo yasiwe mengi nikamwambia hesabu zote zilizopasuka nalipa sasa niliposema hivyo mshenzi akasema wewe una jeuri ya pesa akapandisha bei ghafla unaambiwa kifuko cha 500 kimoja jamaa akaniambia 2000 na nilipasua km vitano hivi nikavilipia 10,000 nikalala kushoto ila nilichukia sana ile kuficha aibu tu na mambo yasiwe mengi nikam-bless yule yanki shuka moja la kimasai nikateembea na Yesu asije akanijazia umatiHahaha ni wa mtaani au? Kama wa mtaani kapoteza mteja.
Moyo Steak , robo kilo ya steki choma niliambiwa shilingi elfu 90.. nikacheka sana, maana ni bei ya kilo 9 za nyama mbichi. Kwa elfu 70 utanunua kilo 7 za nyama, 10k ya viungo na 10k mkaa na foil, utachoma ule nyama mpaka uzimie.Wazungu wenzetu Wana value money, hata kama ni Tajiri bado hawezi kulipia kitu ambacho hakiendani thamani.
Sawa na vimishikaki vya coco beach, wanakuletea mishikaki 20 halafu wanasema bei ni elfu 40😄, mishkaki yenyewe ni ile ambayo kitaa ni shilingi 500 maximum price, sio ile yenye nyama za kushiba inayouzwa buku 2. Hela ngumu sanaNika mwambia rudisha kwaheri aka sema eee jamn kwanini tena nika muuliza wewe unge weza kununu parachichi moja kwa 7000? Nikapanda gari uyoooo nika mrudishia matunda yake
hahahahaha,jamaa anona hizo bei kawaida ,usikute ana piga deal na marehemu chivayoEmbu acha zako ongea ukweli
na washikaji unawaaalikaMoyo Steak , robo kilo ya steki choma niliambiwa shilingi elfu 90.. nikacheka sana, maana ni bei ya kilo 9 za nyama mbichi. Kwa elfu 70 utanunua kilo 7 za nyama, 10k ya viungo na 10k mkaa na foil, utachoma ule nyama mpaka uzimie.
Mpishi mashuhuriHuyo ndo Mwachi sasa 😹😹
Kaishi mbagara kuna wali na mchuzi wa maharage buku
Mkuu tembelea Soko la Stereo matunda hayana bei.
Wauza matunda pembeni mwa barabara hawana roho nzuri.
Parachichi hizo ndio bei zake mkuu na sema tu ukweli ukubwa wake ulikuwaje?
Sawa na vimishikaki vya coco beach, wanakuletea mishikaki 20 halafu wanasema bei ni elfu 40😄, mishkaki yenyewe ni ile ambayo kitaa ni shilingi 500 maximum price, sio ile yenye nyama za kushiba inayouzwa buku 2. Hela ngumu sana
Mpishi mashuhuri
Hao wenye hizo biashara nadhani wan biashara nyingine nyuma ya kapeti kwa hiyo hawataki nyama zo ziisheMoyo Steak , robo kilo ya steki choma niliambiwa shilingi elfu 90.. nikacheka sana, maana ni bei ya kilo 9 za nyama mbichi. Kwa elfu 70 utanunua kilo 7 za nyama, 10k ya viungo na 10k mkaa na foil, utachoma ule nyama mpaka uzimie.
Mbezi patamu sana nataka nihame hukoWatu wa Goba wengi siku hizi wanakuja Mbezi Mwisho kufanya groceries zao. Goba imekuwa eneo ghali sana kuishi, njooni mbezi kuanzia mazaga ya jikoni, nyanya, vitunguu, karoti mpaka matunda ni cheap sana. Kilo ya vitunguu ni buku tu, ukinunua kilo tano unakaa na kusahau, nyanya sado 5,000 imagine, karoti za 5,000 utashangaa.
Guys
Leo nimashangaa sanaa nimefika goba center wanapo uza matunda nichukue matunda ya juice nime agiza parachichi na embe na passion, naambiwa bill 45 nauliza parachichi shingapi 7000 embe 3000 psion 3 = 2000
Nika mwambia rudisha kwaheri aka sema eee jamn kwanini tena nika muuliza wewe unge weza kununu parachichi moja kwa 7000? Nikapanda gari uyoooo nika mrudishia matunda yake
Nikaongoza njia moja kwa moja njia nne nikanunua nika sepa zangu na nimetumia 12000 tu