Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,837
- 6,371
- Thread starter
- #41
😅😅😅😅mkuuHuwa watamu sana hawa na mara nyingi ni mnato
😅😅😅😅mkuuHuwa watamu sana hawa na mara nyingi ni mnato
😅😅😅ndio michezo yenu mkimissiana mnachokozana😅😅Anantafuta tu.. kanimiss
Na ulemavu huoHadi wewe kumbe upo kundi hili
Huwa mnahuruma sana mwanaume akijililia hali anapewa,
Akishashiba anatafuta wa kumchokoza😅😅😅ndio michezo yenu mkimissiana mnachokozana😅😅
Lines zako au copyrighted Mkuu Da Vinci XV?Those little holes
Define the margin of your beuty
Like hotsprings pouring cheeriness
They say its an angelic deformation,
With little holy ditches on your cheeks
Kisses deep down their perimeters,
Make the heart skip its beats
View attachment 2058520
aa,,,tumekumbukwa kabisaTumekumbukwa japo dimple ni ulemavu
wakoje mkuuNawapenda sana. Nimepata bahati ya kuwa nao
Weka na dimples za kiunoni kwa nyuma mkuuThose little holes
Define the margin of your beuty
Like hotsprings pouring cheeriness
They say its an angelic deformation,
With little holy ditches on your cheeks
Kisses deep down their perimeters,
Make the heart skip its beats
View attachment 2058520
Daaah😅😅Weka na dimples za kiunoni kwa nyuma mkuu
Awabariki sana ...awajazie neemahawa watu wakitabasamu huwa wanaleta mvuto wenye raha fulani. mungu awabariki.
Hao waache kwanza😅Vp na hawa wanaume weny huu ulemavu tuwaweke wap?
😅😅😅😅Hahahaaaa
aa,,,tumekumbukwa kabisa
😅😅😅Akishashiba anatafuta wa kumchokoza
Wengine tumejaaliwa kuwa nazo mpaka sehem izo na nyuma ya magotiWeka na dimples za kiunoni kwa nyuma mkuu
Haha!wana uzi wao sio?Hao waache kwanza😅
MkuuuAnazo pia...