Girls born in 1990

Mwanaume anaeshindwa hata kujieleza namba katoa wapi wa kazi gani. Wacha tugonge tu 50. Hilo ni swali gumu lakini huwa mwanamke anatafuta assurance akijua ulipotoa namba atakua comfortable kwako pia sema wanaume hamjui na mnaona hilo swali ni gumu kweli kweli.
Uzee haubishi hodii..
 
Mwanamke anayeuliza such stupid and unreasonable qn ni mpuuzi maana kwa kiasi kikubwa huwa lazima udanganywe tu.
 
Mwanaume anaeshindwa hata kujieleza namba katoa wapi wa kazi gani. Wacha tugonge tu 50. Hilo ni swali gumu lakini huwa mwanamke anatafuta assurance akijua ulipotoa namba atakua comfortable kwako pia sema wanaume hamjui na mnaona hilo swali ni gumu kweli kweli.
Bila shaka PM hakuna hako kaswali eeeh...

Wacha nijongee.
 
Walah ukifikisha 35 huwezi uliza ati umepata wapi namba yangu, otherwise uwe kwenye ndoa!
Hivi kweli unaachaje kuliuliza furushi limepataje namba yako
Wengine kupata namba yako ni laana acha tu muulizwe. Namtaulizwa tu hata tukifika 50.
 
Back
Top Bottom