bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,668
Uzee haubishi hodii..Mwanaume anaeshindwa hata kujieleza namba katoa wapi wa kazi gani. Wacha tugonge tu 50. Hilo ni swali gumu lakini huwa mwanamke anatafuta assurance akijua ulipotoa namba atakua comfortable kwako pia sema wanaume hamjui na mnaona hilo swali ni gumu kweli kweli.