wana jf, ama niseme nimebahatika?
Si kawaida kumpata mtoto wa kike asiyependa pesa. Pesa ndiyo zinaongoza kwa vifo vya wasichana na wanawake walio wengi.
Ukimpata asiyependa pesa yakubidi umshukuru mungu. Girlfriend wangu hapendi msaada wa pesa. Ukaribu nilio nao huwa naona kama namtesa kwa kutompa fedha ya mfukoni.
Yeye kila nikitaka kumpa huwa anasema hana shida ya pesa.
Hali kama hii bado sijaelewa ina maana gani. Je, hii ni kawaida?
mkuu kukusaidia tu
ulimwengu wasasa hawa wanaoitwa ma griend wana bf kadhaa na kila bf ana wajibu wake
eg
bfriend mapesa =huyu anadili na kufinance matatizo mbali mbali ...infact huyu ndie anaengaika kwenye kitandaa kwa ajili ya ngono ukweli bibie kazi yake kwake ni kuchota
bfriend wa ngono:
Huyu anahusika special kumliwaza kwa nguvu zote bibie..infact huyu kutoa kwake hela uamuzi wake anaweza akatoa ama la yeye shuguli yake maalum ni kumliwaza bbibie kwa hali na mali
bfriend wa nguo
huyu anahusika na kununua nguo na vitu vingine kadhaa vya bibie..huyu hahusiki kutoa hela
anahusika na kupelekwa kwenye maduka mazuri na kuomba ile nzuri ile inanifit sasa kazi yake ni kuangalia je hela azlizokuwa nazo ama bank yake ya mfukoni yani atm inafanya kazi ama la
bfriend aka mume mtarajiwa
huyu aulizwi hata chupi sh ngapi ye kazi yake ni kufaidi unyumba na swala la kununua ama anapojiingiza
kuleta zawadi yoyote huwa anaulizwa kwanini unafanya hivi ama usiwe na wasi wasi ni kofit
bfriend huyu dhumuni lake maalum ni kuridhishwa na hata wakati mwingine bibie hutoa gari na kumpatia kwa ajili ya kumnasa samahani sio wewe ni mfano tu...huyu ndugu zake wanaweza mwita mumebwege wakati mwingine sababu wengine hutoka makwao na kuhamia kwa mwanamke anapoishi .....
Huyu akikaaa ovyo bila kujiridhisha anakuja kuachika baada ya mwaka mmoja ......infact watanzania wengi tumekuwa tukianzia unyumba kwenye namba hii na mwisho wanapoingia kwenye ndoa ndipo unawajua wao ni nani na kusikia mwanamume kajinyonga ama kahamia nyumba ya jirani
isiwe kwako in jesus name net inakata cya kesho ama nirushie buku basi kwenye tigo pesa nimalizie