Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
Pesa gani unampa, buku mbili wakati kuna mpemba anampaga laki. hata mimi nakataaa.
lol
Pesa gani unampa, buku mbili wakati kuna mpemba anampaga laki. hata mimi nakataaa.
lol
Wanawake wa kizungu kwa 97%huwa hawapendi pesa wao wanapenda mapenzi ya kweli tu Lakini Wanawake Weusi ni Full Majanga wao Pesa kwanza mapenzi baadae tena ya kuzuga anapenda kumbe moyoni ana yake katika wanawake 1000 wa kiafrika ni wawili au watatu wanaoweza kumpenda mwanaume kisha wasiwe Na Utegemezi wowote kwani kuna wanawake wenye kipato lakini akimpata mwanaume bado anataka ampe chake kidogo anachosotea juani kwa mbinde hoi Kumbuka kwenye Sensa wanawake ni Wengi kuliko wanaume na Kama wakiamua kufanya kazi kwa bidii na kuachana na Utegemezi a.k.a Ubwete hakika Matajiri wa Dunia waweza Kuwa ni wanawake pekee
wana JF, ama niseme nimebahatika?
Si kawaida kumpata mtoto wa kike asiyependa pesa. Pesa ndiyo zinaongoza kwa vifo vya wasichana na wanawake walio wengi.
Ukimpata asiyependa pesa yakubidi umshukuru Mungu. Girlfriend wangu hapendi msaada wa pesa. Ukaribu nilio nao huwa naona kama namtesa kwa kutompa fedha ya mfukoni.
Yeye kila nikitaka kumpa huwa anasema hana shida ya pesa.
Hali kama hii bado sijaelewa ina maana gani. Je, hii ni kawaida?
Embu nitumie nö yake ya simu nipuke jibu kwa nini anakuwa hivyo!