Girlfriend wangu hapendi nimtumie hela wala vocha

Girlfriend wangu hapendi nimtumie hela wala vocha

mkuu kukusaidia tu

ulimwengu wasasa hawa wanaoitwa ma griend wana bf kadhaa na kila bf ana wajibu wake
eg
bfriend mapesa =huyu anadili na kufinance matatizo mbali mbali ...infact huyu ndie anaengaika kwenye kitandaa kwa ajili ya ngono ukweli bibie kazi yake kwake ni kuchota

bfriend wa ngono:
Huyu anahusika special kumliwaza kwa nguvu zote bibie..infact huyu kutoa kwake hela uamuzi wake anaweza akatoa ama la yeye shuguli yake maalum ni kumliwaza bbibie kwa hali na mali

bfriend wa nguo
huyu anahusika na kununua nguo na vitu vingine kadhaa vya bibie..huyu hahusiki kutoa hela
anahusika na kupelekwa kwenye maduka mazuri na kuomba ile nzuri ile inanifit sasa kazi yake ni kuangalia je hela azlizokuwa nazo ama bank yake ya mfukoni yani atm inafanya kazi ama la

bfriend aka mume mtarajiwa
huyu aulizwi hata chupi sh ngapi ye kazi yake ni kufaidi unyumba na swala la kununua ama anapojiingiza
kuleta zawadi yoyote huwa anaulizwa kwanini unafanya hivi ama usiwe na wasi wasi ni kofit
bfriend huyu dhumuni lake maalum ni kuridhishwa na hata wakati mwingine bibie hutoa gari na kumpatia kwa ajili ya kumnasa samahani sio wewe ni mfano tu...huyu ndugu zake wanaweza mwita mumebwege wakati mwingine sababu wengine hutoka makwao na kuhamia kwa mwanamke anapoishi .....
Huyu akikaaa ovyo bila kujiridhisha anakuja kuachika baada ya mwaka mmoja ......infact watanzania wengi tumekuwa tukianzia unyumba kwenye namba hii na mwisho wanapoingia kwenye ndoa ndipo unawajua wao ni nani na kusikia mwanamume kajinyonga ama kahamia nyumba ya jirani

isiwe kwako in jesus name net inakata cya kesho ama nirushie buku basi kwenye tigo pesa nimalizie
Mkuu nikumbushe asubuhi nikutumie MAXMALIPO!! Uko fit sanaaaaa!!!!
 
wana JF, ama niseme nimebahatika?

Si kawaida kumpata mtoto wa kike asiyependa pesa. Pesa ndiyo zinaongoza kwa vifo vya wasichana na wanawake walio wengi.

Ukimpata asiyependa pesa yakubidi umshukuru Mungu. Girlfriend wangu hapendi msaada wa pesa. Ukaribu nilio nao huwa naona kama namtesa kwa kutompa fedha ya mfukoni.

Yeye kila nikitaka kumpa huwa anasema hana shida ya pesa.

Hali kama hii bado sijaelewa ina maana gani. Je, hii ni kawaida?

Huwa unatoa kiwango gani pesa? Vocha kiwango gani pia? Usije kuwa watoa vocha ShivaJeroJero afu wajipakulia kuwa anagoma. Kumbe kaona hali yako ni ngumu tofauti na huko atokako. As anaona akitaja kiwango pesa aliyoizoea utapauka hadi ukijikuna utaanza toa unga lol!
 
Mkuu hii kitu ipo sana lakini kuipata ndio mtihani ukweli mimi ninae kama huyo leo mwaka wa 5 nimezaa nae mtoto Ana mwaka mmoja sasa,haombi pesa wala hataki,yeye kwao mambo sio mabaya noti iko,ila mimi pia sio kama sina uwezo wa kumlea mtoto lakini hataki,
Ilibidi nilazimishe kuwa nampa pesa za matumizi ya mtoto nikampa kadi ya bank ikitokea dharura achukue,ajabu kuna siku nlichukua ile kadi nikaenda kukuta pesa alizochukua na muda nliompa kadi hazifanani,
Yaani kachukua pesa ndogo sana na katika hiyo pesa alimtumia mama yangu mzazi nusu ya ile pesa,
Kwa kweli kwa jinsi alivyo nampenda sana hata akiomba m1 au 2m nampa muda huo huo,lakini hajawahi niko nae miaka 5 sasa,
Kwa hiyo ndugu yangu faham kuwa watu wa namna hiyo WaPo wanawake wenye upendo wa dhati waliokinahi dunia WaPo,
Ajabu sasa ni mkali sana anapogundua kuwa nimetumia pesa kwenye matumizi yasiyo na maana anakasirika sana,
 
We unafikiri yule demu (mbunge) alikua anamwomba kiserengeti hela?
Afu pia anaweza akawa ni member wa JF.
Mademu wa humu sidhani ka tena watatuomba hela baada ya lecture za kutosha za humu.

Mnhh wanasema,"sikio la kufa halisikii dawa"
 
wakati mwingine huwa tunakariri maisha kuwa kila msichana lazima awe na uhitaji wa fedha, isipotoka kwako itoke kwa wenzako, lakini sivyo ilivyo kwa mabinti wasio machakaramu wa mjini, watu na busara na akili zao timamu pesa ni ziada sana katika kutafuta mapenzi ya kweli.
 
^^
Kuna watu mnangekewa,,unasubiri nini kuoa? Au unataka abadilike..ngoja ajiunge JF aone mawazo ya wanawake wenzie humu kuhusu pesa..utakuja na mada nyingine
^^
 
Pesa gani unampa, buku mbili wakati kuna mpemba anampaga laki. hata mimi nakataaa. lol
 
mkuu, achana naye huyo hakufai. wewe unatafuta anayetaka hela halafu yeye anakataa. mpige kibuti mkuu. mbona gf material wako wengi tu.....!

mwanamke anayekataa pesa yangu simtaki kabisaaaaaa hahahahahaaaaa!
 
We bwa mdogo na visredi vyako vya kutunga hivi sema tu unatafuta demu sio unaruka ruka hapa...

Juzi hapa umeandika sredi eti demu wako mlokole unataka umchojoe chupi ili umchuje lakini unaogopa utatemwa...

Leo unakuja tena na habari hizi za fuba na blah blah nyingiiiii....

Kifupi ni hivi hayatuhusu kwa hisani ya Mwanamalundi
 
Last edited by a moderator:
wana JF, ama niseme nimebahatika?

Si kawaida kumpata mtoto wa kike asiyependa pesa. Pesa ndiyo zinaongoza kwa vifo vya wasichana na wanawake walio wengi.

Ukimpata asiyependa pesa yakubidi umshukuru Mungu. Girlfriend wangu hapendi msaada wa pesa. Ukaribu nilio nao huwa naona kama namtesa kwa kutompa fedha ya mfukoni.

Yeye kila nikitaka kumpa huwa anasema hana shida ya pesa.

Hali kama hii bado sijaelewa ina maana gani. Je, hii ni kawaida?


Mkuu huyo anapalilia ndoa kwako maana zikianza mizinga ya Lesi Wigi na shopping lazma uombe poo. Au usikute kuna Babu anagharamika we kwako mtaji kiuno tu (Chunguza)
 
Ww hujiulizi pesa za matumizi huwa anatoa wapi? Huyo atakuwa anapewa mabulungutu na vibosile wa mjini hizo sent zako unazompa anakuonea huruma anaona akuachie zikusaidie mwenyewe.
 
1391741_530018590426537_132692831_n.jpg
[/QUOT

E]

MAANDAMANO MENGINE KWAKWELI NI KAZI KWELIKWELI SASA MAANDAMANO HAYA YANAELEKEA WAPI?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom