Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
Unataka?
Unataka?
Mkuu nifanyie mpango wa namba ya uyo mganga nami nautaka uwo utajirKama utakuwa mfuatiliaji wa mitandao na habari za watu mashuhuri, bila shaka huwezi kuacha kulitaja jina la mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe anayejulikana kwa jina la Genius Kadugure al maarufu kama Ginimbi.
Ginimbi ambaye amezaliwa October 10 mwaka 1984, ambapo mwaka huu anatimiza miaka 34, alianza biashara ya umachinga akitokea katika familia duni ya watoto wanne huku yeye akiwa ndiye mzaliwa wa kwanza.
Lakini ghafla hali yake ya kimaisha kwa ujumla ikianza kubadilika baada ya kukutana na mtaalum nguli Mtang’ata wa Mtang’ata mpakani Tunduma wakati akiwa katika biashara yake ya Umachinga.
Hapo ndipo safari yake ya mafaniko ilipoanza baada ya kukubali kulinda na kutii maelekezo na siri alizopatiwa kutoka kwenye ufalme wa majini kabla ya kupatiwa utajiri ambao hadi leo anaufaidi bila masharti ya kutoa mtu kafara.
Utajiri wa pesa za majini ukamuwezesha Ginimbi kumiliki kampuni kubwa ya kusambaza gesi ijulikanayo kama PIONEER GASES yenye matawi yake nchini Zimbabwe, Botswana na Afrika Kusini.
Pia ameweza kumfungulia mke wake anayeitwa Zodwa Mkandila kampuni kubwa inayojihusisha na masuala ya utalii inayoitwa TRAVERZE TRAVEL. Unaweza ukaona hiyo ni moja yasehemu ya utajiri wake.
Halikadhalika ana miliki majumba makubwa ya kifahari yaliyopo Afrika Kusini katika mji wa Johannesburg, Botswana, Harare Zimbabwe na magari ya kifahari kama vile Bentley Continental Gt, Rolls Royces Ghost na Rolls Royce Phantom, Range Rover Lumma na Range Rover Velar, Mercedes Benz G-Wagon n.k
Kuna mmoja aliacha "shughuli yake" Kongo kurudi akaulipie mganga kafa, Sasa hasira zote kahamishia kwa wanawake, yaani akiwaona anatamani hata awapige, Sasa sielewi huyo mganga alikuwa ke au ni hasira tuHakuna utajiri wa kichawi usio na masharti
Unaeza ambiwa usile papuchi mpaka unakufa. Wana tabu sana hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
advertisement ya biashara ya Bw. Mtang’ata wa Mtang’ata.Nia na dhumuni la kuanzisha huu Uzi ni nini haswa mkuu!?
Hapo....😂😂Pesa za majini kiaje ? Iyo gesi demand si ipo na si anasambaza physically na jasho linamtoka , sasa apo majini yanaingiaje kwenye kupata mtaji au kwenye management ya kampuni ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...advertisement ya biashara ya Bw. Mtang’ata wa Mtang’ata.
Katimiza masharti ya maelekezo ya siri lakini cha ajabu muanzisha uzi kajua hayo. Hapa kuna mawili aidha mtoa mada ndio mganga au ndie Ginimbi mwenyewe. Vyuma vimekaza watu wanakuja na kila mbinu za kupiga.
Duh!!Hakuna utajiri wa kichawi usio na masharti
Unaeza ambiwa usile papuchi mpaka unakufa. Wana tabu sana hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada pesa tuma kwenye namba hii mnakuja kivingine, wabahili hamtupati kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaaa! kweli kabisa.
Mbona hao Wengine wanaokwenda kwa huyo mganga siyo madon?Nani alimuona akienda kwenye hiyo sehemu ya masharti hadi kuyaandika hayo?
Anafanana na jamaa mmoja ivi kwenye cartoon ya despicable.......
Hakika ni Don kama kuna majini yanatoa pesa nipelekeniGinimbi the don