Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Yaani upewe utajiri tu kirahisirahisi naona kuna masharti amepewa kama ulivyoandika kuwa ameambiwa atunze siri na viapo alivyokula ndio maana mwandishi umeshindwa kuyataja kwamaana hujui ni siri yake baina yake na ufalme wa majini
 
Huyu mjinga ndio kwanza namsikia leo, ila naona yuko vizuri iseee.
Pesa yake inaweza kuwa sio ya majini, maana biashara yoyote ukigundua demand yake n.a. kuifanya kwa wakati, hakika utapata tu utajìri/mafanikio.
 
ginimbi mbona alianzia kuuza gesi kamaakna wachu tuu wanavouza sema aliona gap akajiongeza (hakuridhika) akalamba dili seem kadhaa kusambaza gas then boom... asaiv anakampuni yake!!
ayo majini sjui yameingia vp apa!!?
 
Katika hili andiko nilichonote ni kwamba unaweza ukatoboa sehemu yoyote mfano jamaa ameanza kuoperate kutokea Zimbabwe sehemu ambayo Ndugu Mugabe amepakalia kwa miaka na miaka na baada ya kiwafukuza wazungu tukaambiwa Zimbabwe hali ni tete.

Tulichoonyeshwa kwenye media ni watu wakisurfer na viroba au vikapu vimejaa note. Lakini watu kama Ginimbi walikuepo na wapo hadi leo.

Uchaguzi ni jambo la msingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom