Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Ginimbi daaah Rest in Peace, kuna jamaa huku nimeona amesema mali sio zake , nataka nimwambie mali ni zake sababu mimi personally i have been to zim na hizo nchi za south, Watu wenye hela south wanapenda ufahari just imagine kuna mtu ana buggati zim YA USD $ 3.4 million, mzee huu ni nusu au robo tatu ya utajiri wa diamond alafu sio mmoja nnae mjua mtu mweusi ni FRANK BUYANGA....

Wana ni inspire sana wazee tutafute ela kwanguvu, do whatever you can make sure you have money at all cost wakuu,

Ngoja niwaambie kitu wakuu ACHEN KUHATE , comment nyingi zinaHate, What these guys are should inspire us do grind more and more.....View attachment 1624498
View attachment 1624499
View attachment 1624500
View attachment 1624501
View attachment 1624502
Watu wanaamini ushirikina kuliko kufanya kazi. No matter what wanamsema ginimbi ila alikuwa anapiga kazi.biashara zake maneger kazielezea. Yeye mwenyewe alielezea na akatoa ratiba zake how he works. Ukiangalia ile video jinsi anavyofanya kazi zake ratiba zake sio za mtu masikini.
Mtu kaanza biashara at 17 kwa nini asifanikiwe? Wenda alipata na connection za matajiri akajifunza kazi? Apumzike kwa amani.
 
binanadamu tuna masimango sana mkuu
 
Huyo jamaa hamna kitu, Kwa nin wosia wake unasema Mali zake ziuzwe wapewe watoto yatima?? Na nguo zake zichomwe Moto?? Kuna matajiri wengi wanafariki why huyu awe na mauza uza kibao?? Baba yake analalamika mwamba hajawahi mpa hata Mia ....Kwa nn magari yake now yanashika Moto hovyo hovyo baada ya yeye kufa.....
Mamlaka za mapato nchini humo wanadai wanashindwa kukadiria utajiri wa huyo jamaa cse anamiliki vitu vya kifahari lakn biashara zake hazieleweki na zinazoeleweka haziendani na ukwasi alio nao.... Wanaishia kugues Tu around 20 billion za Tz mara 200Bilion

Kifo cha mama yake pia kilijaa utata mkubwa ...

Sio kila mtu atakuinspire wengine watakuingiza mkenge Tu ...
 
Mmh makubwa haya.
 
binanadamu tuna masimango sana mkuu
Ginimbi alikuwa genge moja na alex massawe yule mtanzania anaeishi sauzi.ndo maana sasa hivi alex ma mipesa yake yote nimeona akisema ule mjengo wa sauzi atauchukuwa maana alikuwa akimdai ginimbi.

Kama ginimbi alikuwa rafiki na alex kama inavyoonekana wako wote kwenye nyumba ya sauzi.na story za alex hope mulisikia. Alex to date anahusishwa na biashara haramu pamoja n ivan marehemu maisha yao hayapishani hapa naweza kukubali kwa kiasi kidogo.

Hii pesa bana mtoto anae muita alex masawe mjomba alinambia alex ana miaka 89 now ila ukimuona utadhani 50 hivi dah
 
Nomaaa, me kitu sipend ni kutishana na kuogopeshana maisha, mfano mtu akiwa na hela karoga, mtu akitaka kwenda kukopa afanye biashara kuna mtu atamwambia mkopo hautalipika, yan watu just before hujafanya they already know you will not succeed, sa tujiulize wamejuaje ? . Watu wengi wamefeli kufanya mambo yao sababu they never attempt to do what they intended to do sababu ni kukatishwa tamaa nawatu ambao hawajawah kufanya hicho unachotaka kufanya, mtu hata gari hajui kuendesha anakwambia crown inakula mafuta balaa, , I've never seen you behind the wheels WTF ? Aisee binadamu hatari sana...TAJIRI ALEX MASAWE YUPO MJINI APA ? yule jamaa MAFIA SANA...
 
Sidhani kama kuna utajiri ulioanza au unaondelea bila michezo ya aina katikati kupanda tu cheo makazini inabidi mda mwingine ufanye fitna ili wewe upandishwe cheo mwingine apigwe chini ndo itakuwa utajiri wa Billion 100 khaa ! maisha si marahisi kihivyo
Utakatishaji,kufoji,kutokulipa kodi,kudidimiza mishahara ya watu wanaokufanyia kazi, ubahili uliopindukia, Roho mbaya na tabia nyingine zinazofanana na hizo ndio utakaokufikisha kwenye malengo.
Ili utoke lazima kuna sehemu unyonye kama sio kudhulumu au kupiga watu ili upate zaidi tangu enzi za Mitume ilifahamika kwamba
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia Ufalme wa Mungu. Ipo Hivyo yaniii😂😂
 
Nomaaa, me kitu sipend ni kutishana na kuogopeshana maisha, mfano mtu akiwa na hela karoga, mtu akitaka kwenda kukopa afanye biashara kuna mtu atamwambia mkopo hautalipika, yan watu just before hujafanya they already know you will not succeed, sa tujiulize wamejuaje ? . Watu wengi wamefeli kufanya mambo yao sababu they never attempt to do what they intended to do sababu ni kukatishwa tamaa nawatu ambao hawajawah kufanya hicho unachotaka kufanya, mtu hata gari hajui kuendesha anakwambia crown inakula mafuta balaa, , I've never seen you behind the wheels WTF ? Aisee binadamu hatari sana...TAJIRI ALEX MASAWE YUPO MJINI APA ? yule jamaa MAFIA SANA...
Sio rahisi aje hapa bongo😂 maisha yake sauzi
 
Basi kuna jamaa hapa bongo alikuwa wanatumia picha yake kama ndio agent wa freemanson, ila nikaona hapa wana wanapigwa kisa watu tulikuwa hatumjui Ginimbi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom