Afghanistan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 1,306
- 2,000
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa.
Gigy Money alipelekwa hospitali ya Muhimbili baada ya juhudi za awali katika vituo vingine vya afya, na familia yake inawashukuru madaktari kwa msaada wao. Kwa sasa, anahitaji mapumziko, faraja na utulivu katika kipindi hiki kigumu cha kupambana na afya yake.