ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,979
- 61,190
Ukweli mtupu
Tena kwa kumwangalia harakaharaka atakuwa na wadada wazuri.... mahari yake na iwe hivi: Yeye akamatamo ICHANA na sisi atugee dada zake watatu tuwashee responsibly.
Huishi au hujaishi Dar? Kama ndivyo sorry, huku tunatoboka wallet acha tu
Kudadadeki!!! , yaaani Heineken na nyota yake moja nyekundu kuna seheemu zinauzwa 2500/-? , mimi nikinywa 3500/- naona ubwete , pale mlimani ni buku tano , kwengine mpaka buku saba , duuuh!! , jamaa kweli yuko creative ,na faida anapata kweli?,hapo lazima nipatembelee nipige kama nne za fasta halafu nne nyingine takeaway!!!
Mkuu nadhani utakua unawazungumzia watoto wa form two and three wa sekondari za kata,!
kuna jamaa mmoja bahili niliona kwenye diary yake kaandika "gharama ya bao moja" kaorodhesha matumizi ifuatavyo
nauli 5000
guest 15000
viburudisho 10,000
demu kumtoa 10,000
jumla 40,000/=
kwa kweli inahuzunisha nakufedhehesha.
Hivi nyie wanaume, kuacha tu mnaona nini hadi mfikie mahali pa kuandika matumizi?
Mwana umeongea fact! Mimi hapa nina wik sijakutana na gf wangu. Tulikuwa tumepanga kumeet lakin kwa sababu mfuko hausomi, nimempotezea kiaina, basi kanunajee?
Cheap is expensive babu ,kumbe 10000 inatosha?maeneo ya wapi huko nije?