asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Mmmmmh! Mimi mbona hata sipangagi kumtoa MTU.
Nikitoka zangu kazini nimejisikia kuingia kiwanja nazama kiwanja...... Najisikia kumuita mtu nanyanyua simu km ana nafasi anijoin....au labda kwasababu vikao vyangu vinakuwaga vya monde tu.