Gharama zinavyo limit frequency ya kuonana kwa wapenzi

Gharama zinavyo limit frequency ya kuonana kwa wapenzi

bottom line pesa inaitajika ktk mapenz period...... ni kua makini tu kwa kuchagua demu atayekua ktk level ya kuridhika na ela ulizo nazo!
 
Outing sio lazima utumbue pesa. Enzi nipo broke, beach outing ilikuwa nzuri sana kwangu.
Hadi leo naenda, haya mambo ya kwenda bar na kupigizana kelele siyawezi.
 
Back
Top Bottom