Gharama zinavyo limit frequency ya kuonana kwa wapenzi

Gharama zinavyo limit frequency ya kuonana kwa wapenzi

mwekundu hata kwenda waterfall ukiwa umejiandaa na vitu vyako ambavyo utatumia huko bado ni mtoko pia
Sana sana sisi wa mjini tumeshawaza mtoko ni lazima nimpeleke Kempski au Holiday Inn au Samaki samaki au Mount Meru Hotel au Ngurdoto ambako ni lazima pesa ikaungue
Nu mipango tuu kati yako na umpendaye bana inaweza ikawa waterfall ukajikuta umeingia gharama kubwa hata kuliko aliyeenda kwenye viwanja vyenye majina
 
Last edited by a moderator:

hawa jamaa zetu bila kugharamia na sweat hawathamini kama amependwa
 
Twitter ishauzwa kwa Deo...kitu mbili tano now...sema machangu wengi pale.
..
Maabadi ashaiuza Twitter
ndio wapi nami nijongee nikiwa bongo , maana hiyo kauli ya …….mbili tano imenishtua mzazi!!!
 
ndio wapi nami nijongee nikiwa bongo , maana hiyo kauli ya …….mbili tano imenishtua mzazi!!!

Hapa Vijana Kinondoni.
Ukifika ulizia mbili tano.
Ila lap top, wallet na simu viache home
 
Hapa Vijana Kinondoni.
Ukifika ulizia mbili tano.
Ila lap top, wallet na simu viache home
sasa hiyo mbili tano maana yake ni nini? , kwa hiyo pia unanishauri na kajiusafiri kangu kale ka PASSO , nisiende nacho?
 
sasa hiyo mbili tano maana yake ni nini? , kwa hiyo pia unanishauri na kajiusafiri kangu kale ka PASSO , nisiende nacho?

Mbili tano ni bei ya Heineken na Widhoek
hii pub inauza Heineken na Windhoek na vi-wine ushenzi.
Local labda zije juzi usiku.
 
miss chaga ni pm nimetua last Friday ninazo za box ndio kwanzaaaaa nimeanza kuzichenji j3 na dola ilivyo juu mwee acha tu
 
Last edited by a moderator:
Kazi na dawa...nauli yake kuja na kurudi 40,000 anakunywa savanna saba 31,000 nguruwe kitu lost na ndizi tatu 6,500 vocha 3,000 pesa ya room 30,000 full AC, pesa ya uchakavu 30,000 jumla... 140,000 na chenjichenji...mtaonana mara 4 kwa mwezi unapata 560,000 na mimi nakula bia kumi right kwa mtoko mmoja so 23,000 mara 4 napata 92,000 jumla kuu napata 652,000 semeni sasa na hapo ni mtu mmoja tu
 
RRONDO kumpeleka mtoto wa maana kuspend 10000 ndugu yangu lbda mkale pweza feri...Kwa nnavowafahamu mademu wa kibongo na ma boblish yao hutachukua round utapigwa chini tu babake,Yani mara mia mwanamke alioridhika na wewe 100% ndio atakubali muende out kokote bila kujali mtatumia sh.ngapi ilimradi muinjoy time pamoja tu ila vinginevyo ukikutana na msanii utafeli na wasanii wapo ngazi zote kitaa mpk ushuani!

uko sawa kabisa au tunaenda kula mihogo coco beach! nauli kwenda na kurudi watu wawili 2400,inabaki 7600 inatosha mihogo na soda tena zile disposable!
 
Cheap is expensive babu ,kumbe 10000 inatosha?maeneo ya wapi huko nije?

mtoko ni wewe tu...mademu wetu wa uswazi ukimpeleka coco beach anaridhika kabisa! nauli yeye na mimi 2400[dladala] hapo inabaki 7600 inatosha kabisa kula mihogo/mishikaki ya 100/- na soda! weekend imepita!
 
Mkuu nadhani utakua unawazungumzia watoto wa form two and three wa sekondari za kata,!
 
Mkuu nadhani utakua unawazungumzia watoto wa form two and three wa sekondari za kata,!

kwahio akivuka form two/three hanywi soda?hali mihogo?hapandi daladala?? wote wanageuka wanywa savannah na kutembelea taxi? hao ninaozungumzia ndio mademu wa huku uswahilini kwetu,10000/- bajeti nzuri kabisa!
 
Sasa utajuaje kama biashara imechanganya@miss chagga
 
Back
Top Bottom