Thanks for giving
Senior Member
- Jun 1, 2015
- 137
- 23
Naam....njoo Pm mie Me tuyapange
sas huko PM ushaendwa kutiwa nidhamu,
tujuzeni sas yameishaje huko PM?
Naam....njoo Pm mie Me tuyapange
sas huko PM ushaendwa kutiwa nidhamu,
tujuzeni sas yameishaje huko PM?
Hii calc. kali. umesahau nusu kuku na ndizi mbili kwako.Kazi na dawa...nauli yake kuja na kurudi 40,000 anakunywa savanna saba 31,000 nguruwe kitu lost na ndizi tatu 6,500 vocha 3,000 pesa ya room 30,000 full AC, pesa ya uchakavu 30,000 jumla... 140,000 na chenjichenji...mtaonana mara 4 kwa mwezi unapata 560,000 na mimi nakula bia kumi right kwa mtoko mmoja so 23,000 mara 4 napata 92,000 jumla kuu napata 652,000 semeni sasa na hapo ni mtu mmoja tu
mtoko ni wewe tu...mademu wetu wa uswazi ukimpeleka coco beach anaridhika kabisa! nauli yeye na mimi 2400[dladala] hapo inabaki 7600 inatosha kabisa kula mihogo/mishikaki ya 100/- na soda! weekend imepita!
Hossam umenichekesha sana kwa calculation hizi me ningeonana nae mara 2 tu kwa mwaka LOLKazi na dawa...nauli yake kuja na kurudi 40,000 anakunywa savanna saba 31,000 nguruwe kitu lost na ndizi tatu 6,500 vocha 3,000 pesa ya room 30,000 full AC, pesa ya uchakavu 30,000 jumla... 140,000 na chenjichenji...mtaonana mara 4 kwa mwezi unapata 560,000 na mimi nakula bia kumi right kwa mtoko mmoja so 23,000 mara 4 napata 92,000 jumla kuu napata 652,000 semeni sasa na hapo ni mtu mmoja tu
"I'm busy" kwangu means;
- am not really interested in u
- u r not worth spending my money with
- there is someone else! ;-)
yeah technique chargoni
yaani pale mbili tano aisee jamaa anapiga sana hela,kweli opportunity haziishi dunianiHapa Vijana Kinondoni.
Ukifika ulizia mbili tano.
Ila lap top, wallet na simu viache home