Mjambishaji
Member
- Oct 28, 2017
- 44
- 21
Wap huko!Ni habari ya kusikitisha kutoka jimboni kwa mhe: Magdalena Sakaya kuhusiana na upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa.Ili upate kitambulisho unatakiwa kulipia Gharama zifuatazo kutokana na Umri.
1.Kijana anatakiwa kulipa tsh 20000.
2.Wakina Mama Tsh 10000
3.Wakina baba Tsh 15000
4.Wazee Tsh 5000.
My take
Mbona dar tuligawiwa bure inakuweje sehemu nyingine ? Au TRA imehamia huko? Nisaidieni wadau
Nimecheka sana jina hiloNimekuelewa kutokana na Jina lako nachukulia maana kamili
hili mbona liko wazi siku nyingi..kwa dar kijana ni elf hamsiniNi habari ya kusikitisha kutoka jimboni kwa mhe: Magdalena Sakaya kuhusiana na upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa.Ili upate kitambulisho unatakiwa kulipia Gharama zifuatazo kutokana na Umri.
1.Kijana anatakiwa kulipa tsh 20000.
2.Wakina Mama Tsh 10000
3.Wakina baba Tsh 15000
4.Wazee Tsh 5000.
My take
Mbona dar tuligawiwa bure inakuweje sehemu nyingine ? Au TRA imehamia huko? Nisaidieni wadau
Si Dar mwezi wa saba nilikuwa Ilemela, kata ya Buswelu hivyo vitambulisho watu walikuwa wanapata huduma zote bure, sijajua huko Tabora halmashauri kama imekubali hiliNi habari ya kusikitisha kutoka jimboni kwa mhe: Magdalena Sakaya kuhusiana na upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa.Ili upate kitambulisho unatakiwa kulipia Gharama zifuatazo kutokana na Umri.
1.Kijana anatakiwa kulipa tsh 20000.
2.Wakina Mama Tsh 10000
3.Wakina baba Tsh 15000
4.Wazee Tsh 5000.
My take
Mbona dar tuligawiwa bure inakuweje sehemu nyingine ? Au TRA imehamia huko? Nisaidieni wadau
Halafu huko TABORA, na Mikoa ya KIGOMA, KAGERA, RUKWA, GEITA kuna wakimbizi na wahamiaji haramu wengi sanakutoka jimboni kwa mhe: Magdalena Sakaya