Gharama za vitambulisho vya Taifa

Mjambishaji

Member
Oct 28, 2017
44
21
Ni habari ya kusikitisha kutoka jimboni kwa mhe: Magdalena Sakaya kuhusiana na upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa.Ili upate kitambulisho unatakiwa kulipia Gharama zifuatazo kutokana na Umri.

1.Kijana anatakiwa kulipa tsh 20000.
2.Wakina Mama Tsh 10000
3.Wakina baba Tsh 15000
4.Wazee Tsh 5000.

My take
Mbona dar tuligawiwa bure inakuweje sehemu nyingine ? Au TRA imehamia huko? Nisaidieni wadau
 
Wap huko!
 
Hata kama ni kweli, kwa nini gharama isiwe reflected na kipato/ hali ya uchumi wa mtu. Wanaposema akina mama walipe elfu 10 na vijana walipe elfu 20 ni kwa nini? Yaani mkuu wa wilaya/mkurugenzi/mbunge etc kama ni mama alipe elfu 10, halafu fundi viatu au yule dada anayeuza laini za tigo/voda/ vocha pembeni ya barabara ndo alipe elfu 20, eti kisa umri wake uko kwenye kundi la ujana. Kuna watu walifikiria kweli? au ndo tunalazimishwa kuwa na mawazo ya aina moja, huruhusiwi kuhoji
 
Ni habari ya kusikitisha kutoka jimboni kwa mhe: Magdalena Sakaya kuhusiana na upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa.Ili upate kitambulisho unatakiwa kulipia Gharama zifuatazo kutokana na Umri.

1.Kijana anatakiwa kulipa tsh 20000.
2.Wakina Mama Tsh 10000
3.Wakina baba Tsh 15000
4.Wazee Tsh 5000.

My take
Mbona dar tuligawiwa bure inakuweje sehemu nyingine ? Au TRA imehamia huko? Nisaidieni wadau
hili mbona liko wazi siku nyingi..kwa dar kijana ni elf hamsini
kama hukufanya kipindi kile wako mitaani
ukienda sasa ndio bei yake hio
 
Ni habari ya kusikitisha kutoka jimboni kwa mhe: Magdalena Sakaya kuhusiana na upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa.Ili upate kitambulisho unatakiwa kulipia Gharama zifuatazo kutokana na Umri.

1.Kijana anatakiwa kulipa tsh 20000.
2.Wakina Mama Tsh 10000
3.Wakina baba Tsh 15000
4.Wazee Tsh 5000.

My take
Mbona dar tuligawiwa bure inakuweje sehemu nyingine ? Au TRA imehamia huko? Nisaidieni wadau
Si Dar mwezi wa saba nilikuwa Ilemela, kata ya Buswelu hivyo vitambulisho watu walikuwa wanapata huduma zote bure, sijajua huko Tabora halmashauri kama imekubali hili
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom