Container ya inchi 20?? Au unamaanisha futi 20??.....container ya futi 20 hupati chini ya shs 3 million.Nunua kontela la kusafirishia mizigo lile dogo la inchi 20 ambalo gharama yake kwa sasa haizidi milioni moja.
Tafuta turubai zito alafu ulizingishie kwenye kontena zima,sehemu ambazo zipo wazi.
Chimba shimo sawa na vipimo vya kontena alafu tafuta fundi ai mtaalamu wa mifumo ya maji ili akuunganishie na kontena.baada ya hapo utapata swimming pool ya bei rahisi ambayo haizidi milioni 2.
Kama hujaelewa ni pm au nitafute kwa namba hii
0625582109
Kwawale wa vijijini nibora tuendelee kuwapa mamba campani mtoniii!gharama ya Ujenzi hiyo pool ni kubwa mkuu bajeti ndogo kabisa andaa kama mil 17 mpaka ishirini . tena kama unataka vifaa harisi vya hiyo swimming ni hatari sana. mfano tailizi moja ile frofesheno ya sm 30kwa20 bei yake aipungui 29000 kwa moja sio box. kuna moja ndo naimalizia Ujenzi bado kumbukumbu ninazo
Yuko wapi huyo fundiKuna fundi wangu mmoja niliwahi kumuuliza alisema yeye kuanzia uchimbaji mpaka linaisha anaweza kujenga kwa m15,
kwa madai yake anasema vyenye thamani kubwa ni vifaa ikiwemo ile mashine ya kujazia maji na kunyonya, tiles na cement ya swimming( isiyopitisha maji)
Yupo hapa hapa Dar, kama utakuwa tayri kupiga kazi nitakuonganisha naeYuko wapi huyo fundi
Mkuu ulifanikiwa kujenga Swimming!? tunaomba update ya gharama ulizotumia, nasi tumtafute huyo fundiPoa mkuu ntakutafuta
kama uko arusha kuna for 10m la 5×7 mMkuu ulifanikiwa kujenga Swimming!? tunaomba update ya gharama ulizotumia, nasi tumtafute huyo fundi
Weka pichaNunua kontela la kusafirishia mizigo lile dogo la inchi 20 ambalo gharama yake kwa sasa haizidi milioni moja.