Gharama za matofari kwa ulingisho

Pafyum

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
208
250
Naomba kuuliza kwa wana JF wazoefu wa Ujenzi!

1. Kununua Matofari ambayo yemkwishafyatuliwa na kufyatua mwenyew kipi ni bora?

Naomba majibu yazingatie Gharama na ubora.

2. Na kama nikiamua kufyatua mwenyewe, ni matofari mangapi yanayopendekezwa kwa Mfuko mmoja wa Cement? na Pia ni nin cha kuzingatia katika kupata matofari bora?

Nawashukuru sna, nategemea majib mazuri kutoka kwenu wadau
 
African

Member
Oct 22, 2008
95
0

Tofali bora hutokana na mchanga laini wa bagamoyo na rate ya uzalishaji per mfuko. Recomended in 30/mfuko. Vile vile tofali zinahitajika kumagiwa maji kwa siku tano mfulilizo. Mimi nafanya biashara hiyo eneo la bunju na kerege kama unahitaji nitakussuply kwa 800 / per tofali ya nchi 5 yenye viwango na 900 kwa tofali ya nchi 6 . transport ni sh 200/per tofali . Kwa mawasiliano nipigie 0756443705
 
bluetooth

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
4,333
2,000

tofali zako zina strength ngapi in KN (kilo newton) ..... water to cement ratio ni ngapi? .... curing unayofanya inaendanana water to cement ratio? mchanga laini unaosema wa bagamoyo ni river sand? size yako ya tofali unayosema 6" ina measurement gani in milimmiters LxWxD? ... tofali zako ni grooved (mortar locking) au square flat? mould ya tofali zako 6" ni ya kulaza au kusimama? unatumia cement gani Simba au Twiga? ordinary portland cement (OPC) au portland cement

majibu nitakupa order ya tofali
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,551
2,000
mfuko mmoja wa cement unatakiwa kutoa tofali kati ya tofari 25-30 ni vizuri ukafyatua mwenyewe kwani wanaouza wengi wanaangalia biashara wanatoa matofari mpaka 50 kwa mfuko mmoja kumbuka nyumba ni kitu cha kudumu
 
RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
2,000
tofali zako zina strength ngapi in KN (kilo newton) ..... water to cement ratio ni ngapi? .... curing unayofanya inaendanana water to cement ratio? mchanga laini unaosema wa bagamoyo ni river sand? size yako ya tofali unayosema 6" ina measurement gani in milimmiters LxWxD? ... tofali zako ni grooved (motor locking) au square flat? mould ya tofali zako 6" ni ya kulaza au kusimama? unatumia cement gani Simba au Twiga? ordinary portland cement (OPC) au portland cement

majibu nitakupa order ya tofali

bluetooth weye mchokozi.....akikujibu maswali yako yote mimi nanunua tofali 1,000 kwake hata kesho
 
Last edited by a moderator:

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,741
2,000
Naomba kuuliza kwa wana JF wazoefu wa Ujenzi!

1. Kununua Matofari ambayo yemkwishafyatuliwa na kufyatua mwenyew kipi ni bora?

Naomba majibu yazingatie Gharama na ubora.

2. Na kama nikiamua kufyatua mwenyewe, ni matofari mangapi yanayopendekezwa kwa Mfuko mmoja wa Cement? na Pia ni nin cha kuzingatia katika kupata matofari bora?

Nawashukuru sna, nategemea majib mazuri kutoka kwenu wadau
Matofari ndiyo vitu gani yarabi?
 
The last don

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
805
1,000
tofali zako zina strength ngapi in KN (kilo newton) ..... water to cement ratio ni ngapi? .... curing unayofanya inaendanana water to cement ratio? mchanga laini unaosema wa bagamoyo ni river sand? size yako ya tofali unayosema 6" ina measurement gani in milimmiters LxWxD? ... tofali zako ni grooved (motor locking) au square flat? mould ya tofali zako 6" ni ya kulaza au kusimama? unatumia cement gani Simba au Twiga? ordinary portland cement (OPC) au portland cement

majibu nitakupa order ya tofali
ahahhah! asante kiongozi kama ni wa veta harudi hapa,kule huwa atufundishwagi haya macomplication yenu bana ambayo kwenye maujenzi yetu ya nyumba za kujifichia ucku mbu ayaapply kabisa
sisi tunafyatua tu yatoke kuanzia arobaini sema yasizidi 50 ndio la msingi kwetu.....mengine wala hatuna habariiiiiiii!

Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,704
2,000
Kufyatua matofali kuna faida kubwa kuliko kununua

  1. Ukifyatua matofali mwenyewe utaamua mfuko mmoja utoe matofali mangapi inashauriwa 25-35 lakini wanaouza wanatoa hadi tofali 70 kwa mfuko
  2. Ukifyatua matofali unafyatulia site hakuna gharama za ubebeaji matofali na matofali hayavunjiki tofauti na ukiyasafirisha
  3. Cha msingi kwenye ubora wa tofali ni cement(ya pakistani ni bora kuliko hizi za nyumbani) na kumwagilia matofali kwa muda wa wiki moja baada ya kufyatua
  4. Ni vizuri kufyatua matofali site kama mchanga unapatikana maeneo ya karibu na site( bei ya mchanga itakuwa nafuu)
 
manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,067
2,000
tofali zako zina strength ngapi in KN (kilo newton) ..... water to cement ratio ni ngapi? .... curing unayofanya inaendanana water to cement ratio? mchanga laini unaosema wa bagamoyo ni river sand? size yako ya tofali unayosema 6" ina measurement gani in milimmiters LxWxD? ... tofali zako ni grooved (mortar locking) au square flat? mould ya tofali zako 6" ni ya kulaza au kusimama? unatumia cement gani Simba au Twiga? ordinary portland cement (OPC) au portland cement

majibu nitakupa order ya tofali
Wabongo bana, Yaani mbwembwe nyiiiiiiiiingi na maswali ya kukomoana kama mnavyofanyiwa na ma-prof wenu wa kibongo na nyie mnaiga ujinga huo huo.

Maisha ni marahisi sana ila uki-comlicate nayo yatakuwa complicated kweli. We endelea na vimaswali vyako wacha sisi tumpe jamaa order uone kama nyumba zetu zitaanguka.

pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
4,113
2,000
Kufyatua matofali kuna faida kubwa kuliko kununua

  1. Ukifyatua matofali mwenyewe utaamua mfuko mmoja utoe matofali mangapi inashauriwa 25-35 lakini wanaouza wanatoa hadi tofali 70 kwa mfuko
  2. Ukifyatua matofali unafyatulia site hakuna gharama za ubebeaji matofali na matofali hayavunjiki tofauti na ukiyasafirisha
  3. Cha msingi kwenye ubora wa tofali ni cement(ya pakistani ni bora kuliko hizi za nyumbani) na kumwagilia matofali kwa muda wa wiki moja baada ya kufyatua
  4. Ni vizuri kufyatua matofali site kama mchanga unapatikana maeneo ya karibu na site( bei ya mchanga itakuwa nafuu)

Mkuu yote uliyosema nayaafiki kasoro hapo pekundu. Uwezekano wa sement za nje, na hasa huko mbali, kuwa hafifu ni mkubwa kwani hutumia muda mrefu njiani kusafirishwa. Cementi hutakiwa kutumiwa haraka baada ya kutengenezwa, na huanza kupungua nguvu zikihifadhiwa muda mrefu.

Sement zetu na hasa za Tanga na Dar ni nzuri kabisa na ni bora kutumia hizo kuliko za huko mbali.
 
Belo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
12,704
2,000
@pmwasyoke

Nimeongea na mafundi wamenithibitishia hilo na hata hao watengeneza matofali wanatumia hiyo kwa sababu wanaweza kutoa matofali mengi kwa mfuko kuliko hii ya hapa nyumbani.Suala la kukaa muda mrefu hata hiyo ya hapa ikikaa muda mrefu baada ya kutengenezwa inapungua nguvu
 
ng'wandu

JF-Expert Member
Apr 18, 2011
333
0
Kwa wale wanaojenga Mbezi Makabe, tunasupply matofali ya inchi 5 kwa Tsh. 1000 kwa tofali, hii ni pamoja na usafiri na wapakiaji na wapakuaji. Kwa tofali ya inchi 6 tunasupply kwa Tsh 1100. Tuwasiliane kupitia 0752 215 976 au 0788 284 554. Karibuni sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom