Gharama za kutoka na Mchepuko

Nikikutana na hizi mambo najiuliza ningekuwa mwanaume ningeweza kweli?
I mean how comes raha mpate wote lakini gharama zote ziwe juu yangu??na asante kwa kuja 50K juu

I see being a man is tough
Ungeweza si unataka utelezi 😹😹
 
Nchi ngumu sana hii 😹😹
 
Igweeeeeeeeeeeeeeee..! 🫡

Umemaliza mkuu nimekupenda ghafla siwezi kuishi bila wewe 😹😹😹
 
Jirani kweli platinum inaipa heshima yake, hutaki ugomvi kabisa 😹😹
 
Kiongozi unaonekana unakula sana vibudu 😹😹😹
 
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000

Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.

Hizo savanha 6 pichani 30k ishaisha, bado chakula cha wawili..
 
Imagine unanunua dhambi kwa sh 120000 na bado unausubili mshahara wake ambao ni mauti.Tunapasa kuisikia sauti ya Mungu ikituonya
 
Asante kwa kuja unampa 10000, pamoja na nauli ya boda kwenda na kurudi guest 10000, vinywaji ,2000, kula Kila mmoja kala kwake.
 
1️⃣Lodge = 15,000/=
2️⃣Naul (go & return) = 10,000/=
3️⃣Chakula whole day = 20,000/=
4️⃣Asante kwa game. = 30,000/=
5️⃣Other Sunk Cost..!! = 15,000/=

TOTAL = 90,000=

Hii ni kwa uchumi wa kati hasa maisha ya Dar..

Follow Mwanza Boe
 
Lodge ya 15000 Iko class ya chini, lodge nzuri ni kuanzia 30000/-
Asante kwa game 30000? Pesa ndogo sana hapo inatakiwa iwe kuanzia 70000/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…