Michepuko haina shukrani,ipo kimaslahi zaidi
Kweli kabisa Maka, hakuna ulichobakiza. Wanaume na hulka ya kula hovyo inatutesa sana, hatujawahi kuridhika.Usemacho ni kweli, ila uhalisia wanaume tuna HULKA ya kuchovya chovya, yaani kutangaza UANAUME wetu, unajikuta tu unatamani kumkamua mtoto wa mtu, nae aonje ladha ya duduwasha. Aone UANAUME wako, na sababu nyingine ndogo ndogo..
Hii ni hulka ambayo wanaume tunayo, sitetei uzinzi ila huu ni uhalisia.
Usemacho ni kweli, wazee tupunguze vyenga vingi, wekeza zaidi home, laki bora umtumie umpe bimkubwa, mke ama watoto.. hata kama wameshapata si mbaya kuongezea.
Katika vita ngumu wanaume tunapigana nayo, basi ni hii ya kutowapelekea moto wengine,
Sisi wanaume tuliofanikiwa KWA KIASI KIKUBWA kushinda hii vita, tuheshimiwe saaana 😄🤣
Naona umecomment kwa hasira mpaka umecomment mara mbili!Wa kutoa shukurani ni mchepuko au ni wewe ?
Wewe ndio umeomba starehe kwake, wewe ndio uli mwaproach demu. Akushukuru kwa lipa, kwa kulipia huduma? Kwani umempa hela bure ?
Amekaa kimaslahi. Wewe nduo umefata maslahi ya ngono. Yeye hajakufata umpe maslahi!
We ulitaka umlale bure bure akijua kabisa uhusiano hauna mbele wala nyuma, halafu yeye ndio akwambie wewe ahsante ? Hata sex slave hatoi ahsante. Asante umemjengea, au asante akupe ya wewe kumlala yeye? ?
Unatoka kupiga muchinga ndani, ukipiga hatia mbili 3, unakuta toto, unatamani umfanye kama ulichotoka kumfanya mwenxie ndani(kuutangaza uanaume wako)Kweli kabisa Maka, hakuna ulichobakiza. Wanaume na hulka ya kula hovyo inatutesa sana, hatujawahi kuridhika.
Wapo wanawake wanaowahonga wanaume pia.Nikikutana na hizi mambo najiuliza ningekuwa mwanaume ningeweza kweli?
I mean how comes raha mpate wote lakini gharama zote ziwe juu yangu??na asante kwa kuja 50K juu
I see being a man is tough
Hujawahi kugharamiwa hvyo mkuu? Au wewe unafanya cost sharingNikikutana na hizi mambo najiuliza ningekuwa mwanaume ningeweza kweli?
I mean how comes raha mpate wote lakini gharama zote ziwe juu yangu??na asante kwa kuja 50K juu
I see being a man is tough
SureNikikutana na hizi mambo najiuliza ningekuwa mwanaume ningeweza kweli?
I mean how comes raha mpate wote lakini gharama zote ziwe juu yangu??na asante kwa kuja 50K juu
I see being a man is tough
Hiyo 120000Tsh sio umpe mke weka kwenye akaunti uwe unadunduliza zikifika milioni kanunue materials ya ujenzi peleka site.1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Wapo wanawake wanaowahonga wanaume pia.
Hujawahi kugharamiwa hvyo mkuu? Au wewe unafanya cost sharing