Gharama za kujiuzuru kwa Mawaziri!

Gharama za kujiuzuru kwa Mawaziri!

warudishe fedha walizoiba na kupelekwe mahakamani
 
kujiuzuru tu haitoshi kama inabanika wafungwe nao ili hata wajao wataogopa, lakn kama wakiachwa, bado watafisadika watakavyo kwan c issue itakuw akibainika anajua atajiuzuru mchezo unasha!
 
kwanza kutakuwa na upotevu mkubwa wa fedha wakati wa handover.
Pili, semina elekezi-ngurudoto itakula tena kwetu.
Tatu, sherehe za kuwakaribisha mawaziri wapya wizarani na kusukuma magari yao kama ilivyokuwa kwa jairo, hazikwepeki
nne, ofisi na nyumba za mawaziri wapya kukarabatiwa upya.
Tano,mafao ya mawaziri watakaojiudhuru, mfano waziri mkuu wa sasa lazima apewe ulinzi na gari la kwendea sokoni.
Sita, sherehe za kuwaapisha mawaziri ikulu ndogo dodoma,pesa zitatafunwa.

Saba??

Afadhali waendelee hawahawa aisee, 2015 sio mbali.

watanzania tuliendea kufikiria kaka wewe hakika hatutafikia maendeleo endelevu. Maendeleo ni ghrama na mara nyine hugharimu maisha ya watu. Wanyongwe hadi kufa sio kufungwa tu!
 
Back
Top Bottom