Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

Kabisa sijawahi kujua kumtamani mwanaume mwenzio unadindishaje?. Sijui labda malezi. Yaani naonaga ni mbingu na ardhi ni vitu viwili tofauti mwanaume kumdindishia mwanaume. Naona kitu hakiwezekani lakini ndio yametamalaki. Ajabu sana
 
Hivi unadhani hao vijana ni productive bado? Muda wote si wanakua wamelegea tu? Ghana inapita pagumu
Kwani kuna uhusiano kati ya kupigwa miti( kupigwa pumps) na tija ? Kama ni hivo wanawake hawazalishi?
Hivi unadhani hao vijana ni productive bado? Muda wote si wanakua wamelegea tu? Ghana inapita pagumu
 
Mb n nyingi mno halaf niangalie machoko hapana kwa kweli
inasemekana wanajeshi wa israel(IDF) aslimia kubwa wanapumuliana lakini angalia walivo rhodri vitani, nafikiri washabiki wa Israel wangepiga kampeni /promotion ili watu wao wafirwe ili wewe mabingwa kama IDF.
 
Sheikh Muhsin Hendricks nae anapelekewa msumari wa nyama
View: https://www.youtube.com/watch?v=IWOp664vukE

Katika uislamu ukienda kinyume na maarisho ya Qur'an.automatic unatoka katika uislam.Huyu akiwa anafanya ushoga,kinyume na maamrisho ya uislamu,sio muislamu tena,akitaka arudi awe muislamu,aombe toba,na asirudie tena kufanya hayo yaliyokatazwa katika uislamu.
 
Nimefika Accra, Ghana (jumanne, tarehe 17/03/2025) asubuhi. Ilipofika jioni mwenyeji akaniomba nimsindikize kwenye sherehe Fulani.

Niliyoyaona huko yanasikitisha. Kumbe mambo haya yapo kote hadi Ghana? African Union tafadhali ingilieni kati. Hali ni mbaya.

Hatua za haraka zinahitajika. Vinginevyo vijana wengi wasio na ajira watazama mazima humo kama mbadala wa kukosa ajira.

View attachment 3081454
Suala sio la nchi fulani, ni la dunia nzima, na kwa nchi zenye uchumi mzuri, ajira zipo na hao pia wapo. Hivyo ajira si sababu, bali ni hulka ya mhusika.
 
Back
Top Bottom