Nchi nyingi za Africa zilizobadili viongozi mara kwa mara bado azina unafuu kuizidi Libya ya Gadafi ya miaka 41.
Alimfadhili nduli atupige alifadhili makundi mfano kundi la tuaregi, na kundi la seleka. Aliwagawa waafrika kwa misingi ya dini.
Tatizo kila kiongozi mpya anapoingia huanza na ajenda zake, hataki kuendeleza ya mtangulizi wake.Nchi nyingi za Africa zilizobadili viongozi mara kwa mara bado azina unafuu kuizidi Libya ya Gadafi ya miaka 41.
Nchi nyingi za Africa zilizobadili viongozi mara kwa mara bado azina unafuu kuizidi Libya ya Gadafi ya miaka 41.