Getrude Lwakatare ni Mchungaji, Mwanasiasa

Getrude Lwakatare ni Mchungaji, Mwanasiasa

mimi nimekulia TAG sijawahi kumwamini huyu mama hata kidogo.mwaka 2002 nilialikwa na rafiki yangu nikasali hapo kufika tu mlangoni mwili na roho vikakataa kuingia kusali kanisa lake nikageuza na kumuacha rafiki yangu ameduaa siunajua sie wengine tuna machale ya kiroho. majuzi nimepewa stori zake zingine akihusishwa na uchawi na pia kuna mtu anafanya kazi kwenye taasisi zake aliniambia huyo mama akikasirika anatoa maneno machafu ukiambiwa ni mchungaji utabisha mchana kutwa na usiku kucha. huyu mama na yule anayejiita mzee wa upako hata ashuke Mnazaleti live akiniagiza kwamba kasali hapo hao ni watumishi wangu sitasadiki na wala sitaenda LIWALO NA LIWE MAANAKE MIMI NIMECHOKOKA NA HAWA WACHUMIA TUMBO AMBAO WANALIAIBISHA JINA LA BWANA KWA KUJIDAI WACHUNGAJI!

Nanyie kwanini mnakimbilia Makanisa yanayoanzishwa na binadamu kama nyie!
Kwani lile lililoanzishwa na 'Immanuel' mnaona halifai? Shauri yetu!
 
Huyu alikamatwa na mtoto wa mfalme kule china wakiwa na poda yeye akawahi kuchepuka. Ni mchungaji ila wa wala poda.
 
Nyie wote mmepotea! Hasa nyie mnaojifanya walokole! Mnakwenda makanisani kwa kufata majina ya hayo watumishi na injili nyepesi! Mnafata miujiza! Mkubali sasa kuongozwa na hao wachumia tumbo na matapeli na mafisadi wa kiroho! Someni maandiko muijue kweli! Kwani mkiijua kweli itawaweka huru Na hayo mapokeo Na mafundisho ya uongo!

Ewe uliye katika nuru, uliyenihesabia haki, tufundishe iliyo kweli. Amen.
 
Sorry, lakini kimsingi ni kichaka kikubwa cha mambo mabaya, kwanza mme wake yuko wapi? anahubiria ndoa wakati yeye imemshinda?? anahubiria watu kwenda Marekani utazani huko ndo mbinguni, anahubiria utajiri utadhani hafahamu ilivyo vigumu kwa tajiri kwenda mbinguni, anahubiri ukweli wakati kwa uanasiasa wake ndani ya CCM ni mnafiki. SHAME ON THIS DUDUMTU.
 
Mzee hakuna cha Wachawi wala Wanga kuanguka Kanisani. Yote ni Mazingaumbwe ya kuwanasa Wajinga. Dili linapangwa na watu wanalipwa kujidai wameanguka kanisani kumbe ni uwongo tu!

Kuna mtu mmoja aliwahi kusema kwamba shetani nae anaenda na wakati. Kwa hiyo anajuwa kwamba ili kuwavuta watu ni lazima atumie njia ya Dini au wanaojiita Watumishi.

Maana siku hizi utasikia sijui Gongo la mboto kuna mtu anaombea huyo mara kule Masaki,ili mradi tu watu wapige Dili!

Washindwe ktk Jina la Yesu!!
Huko sahihi...nimefuatilia hawa jamaa ambao wanaanguka kwa mapepo...hakuna hata mmoja ambaye anaagukia kisogo ama paji la uso...akielekea kuangukia kisogo ghafla anaanza makalio ama anaagukia kiupande vivyo hivyo akielekea kuangukia paji la uso aanza mikono kwanza.

Fuatilieni mtagungua ninachokieleza
 
lwakatare bonge la jizi,hivi unaliamini jitu likiwa ccm!!!mchungaji my black a*s
 
Nyie wote mmepotea! Hasa nyie mnaojifanya walokole! Mnakwenda makanisani kwa kufata majina ya hayo watumishi na injili nyepesi! Mnafata miujiza! Mkubali sasa kuongozwa na hao wachumia tumbo na matapeli na mafisadi wa kiroho! Someni maandiko muijue kweli! Kwani mkiijua kweli itawaweka huru Na hayo mapokeo Na mafundisho ya uongo!

wewe unasali wapi? ili walokole wakufuate?
 
Ewe uliye katika nuru, uliyenihesabia haki, tufundishe iliyo kweli. Amen.

Uko Tayari? Kwa Sheria na Ushuhuda na unabii hapo Unaweza kujipima kama unachokiamini ni sahihi.
 
Sio nia yangu kumchafua au kumkashifu Mch Kwakatare. Lakini nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Ubunge na Uchungaji wake ukizingatia kwamba Kiongozi yeyote ktk jamii awe anatokana na Dini au Siasa kazi yake kubwa ni kukemea Uovu!

Ni takriban miaka 6 kama sio 7 sasa tangia Mama yangu huyu kuingia ktk ulingo wa Siasa. Binafsi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Vipindi vya bunge lakini sikumbuki na sijui km kuna siku niliwahi kumuona Mama Lwakatare akipinga Ufisadi Bungeni. Zaidi sana niliwahi kumsikia akimuomba waziri husika kuifungia Jamii Forum.

Kuna usemi umeenea sana Mijini kuwa CCM ni Ukoo wa Panya,kwa kuwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Dada,Kaka,Shangazi na Mjomba wote ni Wezi! Siamini hakika km ni kweli kwa 100% lakini yawezekana kwa 99%.

Kuna wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM ni Janga hata ukamchukuwa MALAIKA ukamuweka humo bado tu atakuwa Fisadi.

Wiki iliyopita Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereza Huvisa akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, iliyokwenda kumtembelea Ofisi za Baraza la Mazingira (NEMC) aliwataja Vigogo watatu jijini Dar es salaam kuwa ni "WAVAMIZI" Sugu wa Ardhi.

Huviza alikuwa akiogopa kuwataja kwa majina vigogo hao lakini mwenyekiti wa kamati hiyo James Lembeli alimkasirikia na kumhoji ni nani huyo alieko juu ya sheria kiasi cha kumfanya aogope kumtaja licha ya kuwa kavunja sheria.
Kufuatia shinikizo hilo, Waziri aliwataja wavamizi hao sugu wa Ardhi kuwa ni, Mbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewji, Mbunge na Mch Getrude Lwakatare na Patrick Lutabanzibwa.

Getrude Lwakatare Mchungaji na Mbunge wa viti maalum(CCM) alishatajwa pia hapo nyuma ktk Orodha ya wanaodhaniwa kuwa ni "WEZI SUGU" wa umeme,ingawa hadi sasa hatukusikia alichukuliwa hatua gani.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Sio nia yangu kumchafua Mama Lwakatare ila ukweli nimeshindwa kujua kuwa yupo kundi lipi, kwa kuwa Kanisani kwa cheo cha Uchungaji yupo, Bungeni kwa Cheo cha Ubunge akiitwa yupo,na Kwa WAHUJUMU na Wavamizi wa mali za Umma yupo!

Ndio maana nauliza Getrude Lwakatare ni MCHUNGAJI, MBUNGE, au ni MUHUJUMU UCHUMI? Nashindwa kidogo kumfananisha Getrude Lwakatare na Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini au Mbunge na Mch Israel Natse wa Karatu ambao wamekuwa mstari wa mbele kukemea Maovu ndani na nje ya Bunge.

Samahani kwa yeyote nitakae kuwa nimemkwaza.

Hata kwenye sembe namba moja yumo. Mimi naona tatizo linaanzia mbali sana. Ukimchambua anayemteua ndio utajua kwamba hayo ni matawi tu. Toka lini shetani akamteua malaika kumfanyia kazi zake? Kama mteuzi yupo katika "list of shame" na amefyata unategemea wateule wake watakuwaje? Si ulimsikia akisema anaorodha ya wauza sembe na mpaka sasa kauchuna. Sasa kama kwenye orodha mama yupo na dogo Riz1 naye yumo unategemea atafanya lolote? Wewe jiulize wale wa EPA aliowasamehe kishikaji ni akina nani? Orodha si anayo mwenyewe kama ya wauza sembe! Nchi hii ni shamba la bibi na ni gulio pia. Alipoondoka mchonga na nchi ikaondoka. Ila kabla hajaondoka alisema "mkiwachagua hawa mtapata tabu sana!"
 
The United Republic of Tanzania.... Sehemu ambayo mwizi mkubwa huitwa 'Mheshimiwa' .
Acha kuitwa 'mheshimiwa' lakini mpaka kuongoza nchi. Angalia list of shame utawakuta humo tena wengine utaambiwa ndio wenyeviti wa kamati za maadili. We jiulize wale wa EPA ni kina nani ndio utajua kuwa hii ni nchi ya kusadikika! Yaani walioiba ndio wanatoa msamaha kwa wezi wenzao!
 
Mwe, ndio liko wapi tena hilo kanisa?

Soma maandiko vizuri utagundua huo ukweli au pitia comment Yangu ya jana upate picha kidogo! Lakini Haya makanisa ya majina ya watu au Haya ya kuzuka tu tuwenayo makini sana!
 
Sio nia yangu kumchafua au kumkashifu Mch Kwakatare. Lakini nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Ubunge na Uchungaji wake ukizingatia kwamba Kiongozi yeyote ktk jamii awe anatokana na Dini au Siasa kazi yake kubwa ni kukemea Uovu!

Ni takriban miaka 6 kama sio 7 sasa tangia Mama yangu huyu kuingia ktk ulingo wa Siasa. Binafsi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Vipindi vya bunge lakini sikumbuki na sijui km kuna siku niliwahi kumuona Mama Lwakatare akipinga Ufisadi Bungeni. Zaidi sana niliwahi kumsikia akimuomba waziri husika kuifungia Jamii Forum.

Kuna usemi umeenea sana Mijini kuwa CCM ni Ukoo wa Panya,kwa kuwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Dada,Kaka,Shangazi na Mjomba wote ni Wezi! Siamini hakika km ni kweli kwa 100% lakini yawezekana kwa 99%.

Kuna wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM ni Janga hata ukamchukuwa MALAIKA ukamuweka humo bado tu atakuwa Fisadi.

Wiki iliyopita Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereza Huvisa akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, iliyokwenda kumtembelea Ofisi za Baraza la Mazingira (NEMC) aliwataja Vigogo watatu jijini Dar es salaam kuwa ni "WAVAMIZI" Sugu wa Ardhi.

Huviza alikuwa akiogopa kuwataja kwa majina vigogo hao lakini mwenyekiti wa kamati hiyo James Lembeli alimkasirikia na kumhoji ni nani huyo alieko juu ya sheria kiasi cha kumfanya aogope kumtaja licha ya kuwa kavunja sheria.
Kufuatia shinikizo hilo, Waziri aliwataja wavamizi hao sugu wa Ardhi kuwa ni, Mbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewji, Mbunge na Mch Getrude Lwakatare na Patrick Lutabanzibwa.

Getrude Lwakatare Mchungaji na Mbunge wa viti maalum(CCM) alishatajwa pia hapo nyuma ktk Orodha ya wanaodhaniwa kuwa ni "WEZI SUGU" wa umeme,ingawa hadi sasa hatukusikia alichukuliwa hatua gani.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Sio nia yangu kumchafua Mama Lwakatare ila ukweli nimeshindwa kujua kuwa yupo kundi lipi, kwa kuwa Kanisani kwa cheo cha Uchungaji yupo, Bungeni kwa Cheo cha Ubunge akiitwa yupo,na Kwa WAHUJUMU na Wavamizi wa mali za Umma yupo!

Ndio maana nauliza Getrude Lwakatare ni MCHUNGAJI, MBUNGE, au ni MUHUJUMU UCHUMI? Nashindwa kidogo kumfananisha Getrude Lwakatare na Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini au Mbunge na Mch Israel Natse wa Karatu ambao wamekuwa mstari wa mbele kukemea Maovu ndani na nje ya Bunge.

Samahani kwa yeyote nitakae kuwa nimemkwaza.
Mkuu sokoinei Ninakuunga mkono na hi hapa ndio nyumba yake huyu Mch Getrude Lwakatare

HUU NDO MJENGO MPYA WA MHE. MCHUNGAJI GETRUDE RWAKATARE ULIOPO MBEZI BEACH DAR ES SALAAM...!!!

Muonekano wa mbele wa hekalu la Mchungaji Rwakatare

MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM

Mc Harris Kapiga akiwa kazini.

Watu wakijiachia

Kabati la vyombo

Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi.

Wadau wakijiachia kwenye moja wapo ya kochi la kifahari mjengoni humo

Wakati wa msosi

Mambo ya dressing table

Kitanda chake cha kulalia
---

Mchungaji Getrude Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.
Kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba nyingine ya kifahari pia.

Jumba la kifahari la Mchungaji Lwakatare ambalo lilizinduliwa mwaka jana, lina thamani ya takribani Sh bilioni 1.5.

Chanzo:Images via Ruma Africa
​
 
Last edited by a moderator:
wanaoenda kusali kwake hawana akili, utadhani wamekwatwa vichwa
 
Back
Top Bottom